MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Achana na wapuuzi Edson, sala zetu zinahitajika kumuombea Dr Ulimboka hawezi ku survive hali yake wanasema si nzuri. Uko kwenye sala zangu Dr Ulimboka
Wanafikiri wakimkamata Ulimboka basi madai ya madaktari yatajitatua yenyewe na mishahara kwa walimu na madaktari automatically itajipandisha, na huduma za afya zitaboreka! Mwe!!! Kweli tuna mAVI-o-NGoZI yanayojua kuwaza.
halafu maoni yako yatawafikiaje? Au ndio mtahamia kwenye vikao vya ndani vya chama? Vile vya kuzodoana kama EL na JK kwenye kikao cha CC? Acha kuwa na akili fupi wewe!
Hatuna independent media mkuu, ukichapisha hizo makala utakuwa hujipendi!! wao ni propaganda na kupindisha ukweli kutokana na shinikizo la serikali. Lakini ukienda kwenye hospitali zetu utasikitika then huyoo!! angalia hapa chiniKutokana na Kwamba mgomo wenyewe ni wakusua sua, silikali inadhani ni wachache wakina Ulimboka ndio wanashinikiza, Ile kamati ya madaktari wangetumia kwanza vyombo vya habari ili kuonyesha wananchi jinsi gani selikali haijashughulikia kuimarisha huduma hospitalini
aibu ya taifa!
"Mliyemsifu kwa kalamu! Ikitokea mkamkosoa, atawanyamazisha kwa risasi", nakumbuka kauli hii kutolewa na jamaa mmoja wakati wa mbio za kuwania urais miaka ya 2000:ear:
.Mkuu, ndio maana nimesema hata watu wenye nia mbaya na Serikali au Drs. wanaweza fanya jambo kama hilo au hata maadui zake wanaweza on hii ndiyo loophole ya kukoroga mambo zadi. Wewe hujui Propaganda ziko kila mahali ?