MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Achana na wapuuzi Edson, sala zetu zinahitajika kumuombea Dr Ulimboka hawezi ku survive hali yake wanasema si nzuri. Uko kwenye sala zangu Dr Ulimboka
kuongeza chumvi kwenye issue kama hii hakuwezi kutatua tatizo
