Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Polisi bana. haya mkiambiwa polisi wanaweza kuchoma makanisa mnabisha na kusema UAMSHO. mmeona wenyewe yamekukuteni
 
Wanafikiri wakimkamata Ulimboka basi madai ya madaktari yatajitatua yenyewe na mishahara kwa walimu na madaktari automatically itajipandisha, na huduma za afya zitaboreka! Mwe!!! Kweli tuna mAVI-o-NGoZI yanayojua kuwaza.

hasa viongozi ndo wanayo hayo,,yaliyo expire
 
Nimepata nafasi ya kufuatilia suala la Dr. Ulimboka. Naweza kuthibitisha kuwa amepatikana baadaya kuwa kupigwa kwa takribani masaa matatu, kujeruhiwa na kupoteza damu nyingi. Sasa hivi anakimbizwa hospitali kuokoa maisha yake bila ya shaka katika kumtumia ujumbe wa aina yake kama kiongozi wa mgomo wa madaktari.

Hii ni aibu ya taifa!

Tumwombee anusurike lakini vile vile wengine watiwe moyo kuwa wapo mashujaa katika Tanzania!!
 
Hapa utaona Akili ya Serikali ilipofikia,Lengo ni kutuonesha kuwa Madaktari wako tayari kumtibu Doc mwenzao na si mwananchi wa kawaida.Wataitwa Waandishi watapiga Picha mpaka za video.Serikali haitozungumzia kutekwa kwake na majeraha aliyopata hiyo itazungumzia madhara ya Mgonjwa ,na yeye Ulimboka aone maumivu ayapatayo Mgonjwa.Na watatokea watu watakaoliongelea ìli kwny Media.Hatuna Viongozi .
 
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa
 
halafu maoni yako yatawafikiaje? Au ndio mtahamia kwenye vikao vya ndani vya chama? Vile vya kuzodoana kama EL na JK kwenye kikao cha CC? Acha kuwa na akili fupi wewe!

Mkuu, naona wewe hujamwelewa!! Rudia tena kusoma comment yake, with time utamwelewa.
 
quote_icon.png
By wabara alizungumza kama mwanasheria sio kama mtekaji kwani hujui mtu akikaidi amri ya mahakama anafanywa nini?

Mpu%^$#vu kabisa wewe!!

Yaani mtu akikaidi amri ya mahakama ndiyo anakamatwa saa 7 usiku na askari tena wasio na uniform?? P"?$#@#&*%u kabisa!! Hivi hii serikali isha sahau mapinduzi ya Tusinia yalianza kivipi??? Itakuwa ni vizuri kama wako serious MP (Pinda) akaitisha press conference na kueleza alipo Ulimboka na hali yake.
 
Kutokana na Kwamba mgomo wenyewe ni wakusua sua, silikali inadhani ni wachache wakina Ulimboka ndio wanashinikiza, Ile kamati ya madaktari wangetumia kwanza vyombo vya habari ili kuonyesha wananchi jinsi gani selikali haijashughulikia kuimarisha huduma hospitalini
Hatuna independent media mkuu, ukichapisha hizo makala utakuwa hujipendi!! wao ni propaganda na kupindisha ukweli kutokana na shinikizo la serikali. Lakini ukienda kwenye hospitali zetu utasikitika then huyoo!! angalia hapa chini
548736_386131041448435_1466428808_n.jpg
 
Waliosema Kikwete dhaifu itabidi wamuombe radhi, maana finally ameamua kuwa dikteta. Na there are many times nimesema hapa kwamba Kikwete ni dikteta watu wakanijia juu. Lakini namuona kama ni mtu anayejiharibia status yake bure. Maana angeweza tu kuamrisha huyo doctor afukuzwe kazi, kuliko huu uamuzi wa kumpiga. Ni maamuzi ya kitoto sana tena yalikosa hata tone la busara.
 
Sasa naanza kuona upofu wa viongozi wetu! Huwezi kuwatisha watu wasomi wenye kujua haki zao kwa kuanza kukamata watu na kuwaweka ndani!

Uongozi wa kimabavu siku zote huishia pabaya! Kwani wanaona ugumu gani kukubaliana na matakwa ya Watanzania! A better working conditions! Batter facilities! Naambiwa tangu mgomo wa madaktari ulipoanza serikali ilitumia nguvu ya zaidi ya 8bl. Bajeti ya wizara ya afya sasa hivi ni something like 18bl!

Sasa kama unaweza kutumia kiasi hicho kwenye mgomo kwa nini kiasi hicho kisitumike kuleta madawa na vitendea kazi. Dawa zinaletwa zinakaa MSD zikikaribia ku-expire ndo zinapelekwa hospitalini. Halafu tunasema tuna serikali. Serikali gani inayotaka wananchi wake wafe? Tunaona mizengwe kwa ajili ya afya zetu.

THI ni moja ya zengwe la serikali. Hii ni kutaka vibaraka wao wapate safari za kenda India tu! Dr Masau alikuwa anatibu watu wenye matatizo ya moyo hapa.

Wameunda zengwe hadi kaondoka! Na leo wanauza vifaa vyake vya kufanyia kazi! Hivi alikuwa anatibu Watanzania ama ni watu toka sehemu nyingine? NI BORA WAFE WATANZANIA MASKINI MIA KULIKO MWANASIASA MMOJA AFE!

MIMI NINGESHAURI JUMUIYA YOTE YA MADAKTARI MUWE PAMOJA NA DR ULIMBOKA KWA KILA HATUA. KAMA NI KUFUNGWA BASI MFUNGWE WOTE AMBAO MNAUNGA MKONO MGOMO HUU! JE, WATAWEZA KUWAFUNGA AMA KUWAFUNGULIA MASHTAKA WOTE!

LET US ALL CALL ON DR ULIMBOKA FREEDOM NOW!
 
huwa nasema kila siku kuwa serikali ya magamba haina habari na watu wake hili ni genge la wahuni tu linaongoza nchi kidictetor hawa ni madhalimu dhidi ya wananchi na nchi yao na tuwalaani.
 
This is not Tanzania i used to know. i do not know were we are heading
 
"Mliyemsifu kwa kalamu! Ikitokea mkamkosoa, atawanyamazisha kwa risasi", nakumbuka kauli hii kutolewa na jamaa mmoja wakati wa mbio za kuwania urais miaka ya 2000:ear:

true tupu......sasa Jakaya Kikwete anawanyamazisha kwa risasi...
 
Mkuu, ndio maana nimesema hata watu wenye nia mbaya na Serikali au Drs. wanaweza fanya jambo kama hilo au hata maadui zake wanaweza on hii ndiyo loophole ya kukoroga mambo zadi. Wewe hujui Propaganda ziko kila mahali ?
.

Ni kweli kabisa.
 
Hii haisaidii kumteka Dr.Ulimboka na kumtesa wakati hospitali hazina madawa,vifaa vya kazi, CT scan haifanyi kazi. Wao wanakimbilia Apollo India kutibiwa
 
Back
Top Bottom