Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.
Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi
Wenye ndugu zao wanaoteseka na kupoteza maisha wameanza kuchukua sheria mkononi.Serikali haiwezi kufanya hilo lilotokea kwa kipindi hiki.Hatuna independent media mkuu, ukichapisha hizo makala utakuwa hujipendi!! wao ni propaganda na kupindisha ukweli kutokana na shinikizo la serikali. Lakini ukienda kwenye hospitali zetu utasikitika then huyoo!! angalia hapa chini
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

Hii topic hakuna anaetumia ubongo, kila mtu anatumia ubongo wa chama chake. Kwani huyu ndio wa kwanza kuvamiwa? Hivi wewe ukivamiwa hapo kesho unafikiri members wote wa jamii forum watakuja kulaumu serikali?Tumia ubongo kufikiri.! Wapi aliposema serikali inahusika.?ni wajibu wa serikali kulinda raia wake,hata wewe ukivamiwa au kuuwawa ni lazima serikali itolee maelezo.!!
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
Hivi huko MOI nako si kuna mgomo au?? Yeye amepokelewa kama nani (mgonjwa wa kawaida kama wananchi wengine tulionyimwa huduma au yeye ni spesheli??)
Double standards all the way............
Pole Dr. Ulimboka ila yawezekana pia watekaji walitaka kuona je huyu Dr. Ulimboka akipata shida inayohitaji matibabu atahudumiwaje kipindi cha mgomo!? - Just speculating
wale hawawagusi kwa kuwa ni political public figure ukifanya hivyo tu nato itakukurupuambona tuna majembe kama kina slaa,mnyika,mbowe na makamanda wengine,hawatekwa na wamekuwa wakiikosoa serikali kweli kweli.huu ni uzushi
Toa ushahidi wa kuhusika kwa ikulu hapa. Nakushangaa sana mwana JF waongelea mambo kwa dhana dhana na ububusa. Tuwekee ushahidi hapa wa ikulu kuhusika, na usipo fanya hivyo utakuwa umejiabisha mwenyewe kwa kutokuwa na hoja bali dhana tu......wamuuua mtanznia mwenzeka kwa sababu ya tu kudai haki na amekushinda mbinu za kukudai na huwezi hata kujibu hoja na unaona ni bora umtoe roho aibu kani hiiii IKULU