Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Wenye silaha ni maaskari na usalama, Dr Ulimboka hana biashara yoyote anayofanya imfanye atekwe, hana pesa hana kitu ni maskini tuu, sasa swali kuu ni nani aliyemteka? Ni government agent na ni specific na issue ya madokta full stop.

Aand then what next.....the doktas are still ndani ya mgomo baridi

Mbona watu wa mbeya wakiwagusa watawala wanaadhibiwa kuliko binadamu wengine? Dr Mwakyembe,profesor mwandosya? Uwiii
 
Hatuna independent media mkuu, ukichapisha hizo makala utakuwa hujipendi!! wao ni propaganda na kupindisha ukweli kutokana na shinikizo la serikali. Lakini ukienda kwenye hospitali zetu utasikitika then huyoo!! angalia hapa chini
Wenye ndugu zao wanaoteseka na kupoteza maisha wameanza kuchukua sheria mkononi.Serikali haiwezi kufanya hilo lilotokea kwa kipindi hiki.
 
serikali imechoka sana,inaonyesha yote waliyokuwa wakiongea ilikuwa si kweli sasa wanatumia nguvu.wanalolifanya si suluhisho
 
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

Akili yako na ID name yako havina tofauti...
 
Kwa hili utakuwa ni ulimbukeni wa mawazo na upotofu mkubwa kwa JF members kulihusisha na serikali. Watu wengi hivi sasa wan a hasira sana hawa madaktari, kwani watu wanakufa kwa ajili yao na kujali pesa kuliko utu wa mtu. Na hili la ulimboka laonyesha ni dhahiri watu wan a hasira nao, hata mie pia na hasira nao, ndugu yangu juzi amekufa kwa ajili ya mgomo wao usio na mashiko.
 
Ndugu wananchi, IKULU si mahali pa pango la walanguzi ikulu si mchoze Ikulu ni mzigooo!! JK amekaa 25 yrs IKULU anashanga leo hii watu wanatamani IKULU kama nini vile sijui, sasa hawa walio enda IKULU kwa kweli hawajui walitendalo kabisa.

Watu mwakimbilia ikulu kwenda kutoa order ya kuuwa watutu raia kweliiiiiii hii ni aibu gani? wamuuua mtanznia mwenzeka kwa sababu ya tu kudai haki na amekushinda mbinu za kukudai na huwezi hata kujibu hoja na unaona ni bora umtoe roho aibu kani hiiii IKULU
 
Yule kijana wa Tunisia aliyejichoma moto kuueleza ulimwengu maonevu ya serikali yao ndio kama hivi kw Dr Ulimboka.ole jembe- Aluta continua
 
kweli asee ''Liwalo na liwe'' huu msemo ulibeba kitu.
 
Mtumishi wako ukimheshimu na kuwa nae kiutu na kiubinadamu kabisa hawezi kukudai madai yanayozidi uwezo wako, labda kama na wewe humsheshimu. Hata kama serikali haina uwezo, kwanini msi respond using apreciative and positive way maana this is a very sensitive matter? Hamjifunzi tu? Si mtaaibika tena mmesahau?

Kauli ya Pinda leo Bungeni "Liwalo na Liwe" inaashiria yaliyomkuta kamanda huyu wa mageuzi kuwa kuna mkono wa serikali. Serikali haijajifunza bado? Je imeanza kutumia mbinu chafu kuzima vuguvugu la mageuzi? Je Madaktari wakiamua kugoma wote kwa umoja wao, ni nini kitatokea? Kwakuwa kwa hali ile tu ambapo haikuwa nchi nzima kivile lakini nchi ilitikisika.

Nawaonya serikali, hatua mnazochukua mzichukuwe kwa busara na hekima ya hali yajuu, msije mkatupelekea kwenye balaa. msisahau maadui wa CCM wanaangalia hali hii kwa umakini na wanaweza kuchukulia udhaifu wowote katika hatua mtakazochukua kimaliza CCM.

Serikali ya CCM, hebu rudisheni zile busara zetu za wakati ule, msikurupuke, kuna madhara yeyote kuchukulia swala hili positively hata kama hamna uwezo? Wanachotaka unadhani ni maslahi tu, angalau muonyeshe kuwa nao ni sehemu ya raia wa nchi hii ambao mnawatawala (sina uhakika kama mnawaongoza kwa staili mnayotumia kushughulikia matatizo). DO NOT MAKE THE SAME MISTAKE, SERIKALI HAINA NGUVU TENA KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA CHAMA KIMOJA, PLEASE USE DEMOCRACY AND NOT WEAPONS.
 
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

namtafuta mkewako nimdinye.
 
Serikali Dhaifu haiwezi fanya mambo magumu hata siku moja.....ndivyo ilipofikiria kukomesha mgomo
 
Tumia ubongo kufikiri.! Wapi aliposema serikali inahusika.?ni wajibu wa serikali kulinda raia wake,hata wewe ukivamiwa au kuuwawa ni lazima serikali itolee maelezo.!!
Hii topic hakuna anaetumia ubongo, kila mtu anatumia ubongo wa chama chake. Kwani huyu ndio wa kwanza kuvamiwa? Hivi wewe ukivamiwa hapo kesho unafikiri members wote wa jamii forum watakuja kulaumu serikali?
 
Watu wa usalama std 7 unatarajia wafikiri nini zaidi ya hilo. Wao walijua hii ndo suluhisho shame on the fu.ck govt and your security forces
 
Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.

Well said. Kula tano.
 
Hivi huko MOI nako si kuna mgomo au?? Yeye amepokelewa kama nani (mgonjwa wa kawaida kama wananchi wengine tulionyimwa huduma au yeye ni spesheli??)

Double standards all the way............

Pole Dr. Ulimboka ila yawezekana pia watekaji walitaka kuona je huyu Dr. Ulimboka akipata shida inayohitaji matibabu atahudumiwaje kipindi cha mgomo!? - Just speculating

Inawezeka mkuu.
 
Duh! hii inatisha na serikali isipokuwa makini, mgogoro huu utaifikisha nchi pabaya sana.... lakini pia maadui wa serikali wanaweza wakafanya kitendo kama hiki ili kuzidi kuchochea mgogoro uliopo. hapa busara ya hali ya juu inahitajika ili kumaliza mgogoro huu!
 
mbona tuna majembe kama kina slaa,mnyika,mbowe na makamanda wengine,hawatekwa na wamekuwa wakiikosoa serikali kweli kweli.huu ni uzushi
wale hawawagusi kwa kuwa ni political public figure ukifanya hivyo tu nato itakukurupua
 
......wamuuua mtanznia mwenzeka kwa sababu ya tu kudai haki na amekushinda mbinu za kukudai na huwezi hata kujibu hoja na unaona ni bora umtoe roho aibu kani hiiii IKULU
Toa ushahidi wa kuhusika kwa ikulu hapa. Nakushangaa sana mwana JF waongelea mambo kwa dhana dhana na ububusa. Tuwekee ushahidi hapa wa ikulu kuhusika, na usipo fanya hivyo utakuwa umejiabisha mwenyewe kwa kutokuwa na hoja bali dhana tu
 
Back
Top Bottom