Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Na wewe tukutandike kwa jinsi unavyo kula rushwa ya "human trafficking" kwa kusafirisha Wahabesh na Waeritria ?
 
Du la Mwakyembe tulikaa kimya...... kama na hili la Ulimboka tutakaa kimya basi mafisadi watatufanya wanavyotaka.... madaktari sasa ni ruksa kugoma mpaka basi.........
 
Hii sasa ni hatari sana. Serikali iache kufanya mambo ya kigaidi gaidi maana si suluhisho. dawa ya deni ni kulipa.
 
Si umesema utakuwa wa mwisho kulaumu! umeanzisha thread!
Naomba uninukuu vizuri mkuu. Nimesema, na nasisitiza nitakuwa wa mwisho KUAMINI kuwa serikali/polisi ndio waliofanya jambo hili. Sasa, hata kama hawakufanya wao haiwaondolei jukumu la kulinda usalama na amani ya nchi...
 
serikali dhaifu,yakijinga ,hauwezi kutoa kauli,si waliwatuma wakafanye kilichofanyika.
waseme nini sasa,kwamba wanasikitika hakufanikiwa kumuua.
 
There are currently 2677 users browsing this thread. (428 members and 2249 guests)


​ninyi ndugu zangu akuna plan b ya kunusuru nchi hii?
 
Mbona wengine wanaokufa kwa ajili ya yeye kugoma huwaombei ? huo sio ubaguzi wa binadamu wenzako ?


Sijui niseme kuwa hujui ulisemalo ama sijui wewe ni kibaraka cha UDHAIFU kwa kweli nashindwa nikuweke kund lipi?
Laiti ungejua Ulimboka anatetea maisha yako usingeongea utumbo kama huu au hujui kiundani madai ya madaktari ni nini maana hawa UDHAIFU wanaweka kila kitu kwenye Siasa hata yale ya msingi kwako ni siasa.

Kiufupi madaktari wanatetea vitendea kazi, hakuna vitendea kazi unategemea utatibiwa na nn kama hakuna vifaa, kudai vifaa vya kazi wanaonekana ni wabaya fikiria unamgonjwa yupo hoi anaitaji kufanyia upasuaji halafu vifaa havipo yule mgonjwa wako anapoteza maisha sababu tu ya kukosekana kwa vifaa utawalaumu nani kama sio madaktari tena kwa kelele kuwa madaktari ni wazembe wamesababisha kifo cha ndugu yako ila ukumbuke kuwa madaktari sio wanao nunua vifaa ni serikali yako dhaifu ndio inayonunua.... hii ni moja ya sababu ya mgomo wa madaktari....

tumia akili zako kufikiria mara 2 usitumie akili za mbayuwayu na dhaifu kufikiria
 
Tunaomba chama cha madaktari kuusimamia usalama wa huyu kamanda popote atakapokuwa kwani hawa jamaa wanaweza kuwa wameshampiga sumu na pia wanaweza kumrudia. "KUMBUKENI MABWEPANDE NI YA ZOMBELIZATION siyo ya maigizo, so kama mtu kafikishwa huko alikuwa amekwisha"
 
Hakika hili nalo linaonyesha jinsi serikali yetu imeishiwa kifikra mpaka suluhisho linakuwa hilo.kama kweli ni mkono wa serikali basi pia hiyo damu itawafuata ni muda muafaka wa kusema bye magamba.Ni heri kufa kuliko kendelea kuishi katika hofu na udhalimu wa jinsi hii.
 
Nani aliyegundua uwepo wa Dr. Ulimboka huko walikomtoa...
 
Mnaomsikitikia huyo fedhuli mmoja, mnajuwa ni wagonjwa wangapi wanaoathirika na upumbavu wake? au wale sio binaadam? binaadam ni huyo kibaraka pekee?

Nasema astahili yake, mtoto akichezea wembe mwachie, na bado.

Mkuu una akili vizuri?????
Kama huna cha kuongea si ukae kimya??
Selikari yako ingetambua hilo ingemaliza matatizo ya ma doctor kistaarabu kabisa!
 
CHADEMA tokeni BUNGENI leo mpakaPINDA, Waziri Mwinyi,IGP Mwema,Mkurugenzi wa usalama wajiuzuru hii haikubaliki.
 
THIS IS TOO MUCH.....UNYAMA HUU HAUVUMILIKI,they will pay the price!!
 
Kwa mwendo huu wa serikali hii, haitafika hata muda mrefu maroroso yake yanataiondoa katika hatamu ya uongozi! Sani Abacha aliwaua watetezi wa haki za raia akian KEN SARO WIWA, MASHOOD ABIOLA NK, lakini serikali yake haikufika mbali ili-collapse na yeye mwenyewe sani abacha alikufa kifo kibaya sana! Huu ni mwendo wa serikali ya dikteta abacha! ufedhuki huu haukubaliki abadani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…