Nani aliyegundua uwepo wa Dr. Ulimboka huko walikomtoa...
Habari nilizozipata punde kutoka kwa mtu wangu wa karibu na wakuaminika ni kwamba Dr. Ulimboka amemtambua mtu mmoja kati ya watatu waliomteka akiwa kitandani MOI, huyo jamaa ni afisa usalama alievaa kiraia na kujifanya mwandishi wa habari kwenda kuhakikisha kama kazi waliotumwa ya kumaliza Ulimboka imekamilika ndipo Ulimboka alipomtambua na Madaktari kuweka zana zao za kazi chini na kuanza kumshughulikia kikamilifu kama mbwa mwizi mtu alie husika na mateka ya Ulimboka....
Wewe uko sawa kweli ? au unafikiria kwa kutumia majani ya matembele ?
Mnaomsikitikia huyo fedhuli mmoja, mnajuwa ni wagonjwa wangapi wanaoathirika na upumbavu wake? au wale sio binaadam? binaadam ni huyo kibaraka pekee?
Nasema astahili yake, mtoto akichezea wembe mwachie, na bado.
mkuu maana yangu ilikua hakukua na umuhimu wa kuanzisha thread nyingine angebandika tu humu tungeona
Sasa tutaogopa......ukiwa mwanaharakati wa kupigania hari ya wanyonge shida tupu....!
Mkuu una akili vizuri?????
Kama huna cha kuongea si ukae kimya??
Selikari yako ingetambua hilo ingemaliza matatizo ya ma doctor kistaarabu kabisa!
endelea kuwa mpumbavu vile umeamua kuishi hivyo, hata gadafi na wengine wa aina hiyo walisema kama unavyofanya lakini mwisho ulifika kwao na vizazi vyao, hilo ndio jambo la kusikitisha n kuogopa lisikukute kwa mtu mwenye akili sawa sawa, unasababisha generation yako kishi kwa shida for the rest of their life.Wewe uko sawa kweli ? au unafikiria kwa kutumia majani ya matembele ?
Wadau,
Habari ndiyo hiyo.
"Jamani this is iserious nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa legal and human rights center wameniambia wametoka kumchukua Dr Ulimboka kule Mabwepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi please tunaomba mtume habari hii kila mahali please!
Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center"".
By Dr. Riwa
Nadhani wewe ndo huna maana tena kabisa,tatizo ni madaktari kukataa kufanya kazi au ni serikali kukataa kutimiza wajibu wao?Mafisadi wanataka kula kodi wenyewe sasa huo upuuzi hatuutaki,kodi tunalipa wenyewe wao wale peke yao.MADAKTARI UNGANENI MHAKIKISHE HAMRUDI KAZINI HADI WALIOFANYA HUO UNYAMA WAFIKISHWE MAHAKAMANI AKIWEMO SURA MBOVUHana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
una uhakika!? utawala unaingiaje hapa?