Hana maana huyu hata akifa hakuna wa kumjutia,wangapi wanakufa huko hospitali tena nchi nzima kisa yeye anapingana na serikali tena kwa maslahi binafsi,anapinga mpaka amri ya mahakama hana adabu kabisa,wangemalizia kabisa tujue moja.sina roho ya huruma kwa mnyama/chizi/!!!!!?????? shenz..... kama huyu asiyethamini maisha ya wenzake bora angetangulie yeye akadai hayo maslahi huko kuzimu.
Honestly this is not right at all.... kweli hii serikali bora mseme mnataka vita kuliko kumpiga mtu kiasi hiki kwani akigoma si ndio serikali iwasikilize matatizo yao???????? eti serikali sikivu wakati serikali kiziwi kweli i don't understand. Je walimu nao wakigona na pia hao polisi wakigoma itakuwa ndio mchezo huu wa kuumizana??????? Kina Vua Nahodha work on this serious issue ASAP...Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
Kuna tetesi kuwa kiongozi wa mgomo wa Madaktari aokotwa pande akiwa mahitihuti! Kama habari hii ni ya kweli basi tunakoelekea siko! Ipo siku mafisadi wataburuzwa barbarani!
we ndio mshabiki mpumbafu kabisa huna soni,kabisa wananchi wameanza kufa leo, wanakufa kila siku kwa kukosa hata dawa ya kuzuia damu wakizaa,kukosa nyuzi za kushonwa ,unambiwa scan machine hazifanyi kazi ocean road,muhimbili kwenyewe,x-ray ni mikoa kumi tu zinafanya kazi,zahanati asilia 51 hazina watendaji,ambulance zimeletwa pikipiki ,watoto wanakufa kila siku kwa kukosa oxygen mie sio mjinga mwenzio naipenda nchi hii na sitakubali ujinga wa baba yako mtawala mbumbumbu anayepeleka nchi yetu kwenye moto wa petrolijitahidi kujenga hoja acha ushabiki,
ulimboka ni nani awe na thamani kuliko ma elfu ya watanzani wanaoteseka kwa mgomo?
madaktari walipo goma sijaona mtu hata mmoja akiwaita wanyama kwa mateso wanayopata watanzania wasio na hatia kwani wao sio serikali.
kunamashetni hu jf.huyu nae ni pepo.
Kampe pole mama yako ambaye hata kansa ya shingo inayotibika wameshindwa kuigundua mapema kwa sababu tuu Jakaya kawauzia wazungu migodi
"MPUMBAVU AKIKAA KIMYA HUESABIWA ANA HEKIMA...ILA AZUNGUMZAPO UPUMBAVU WAKE HUDHIHIRIKA"Swali langu mi nahoji kwann madaktari wameudumie yeye wakati wamegoma? Mwacheni naye aonje machungu wanayopata wagonjwa hapo hapo Muhimbili kwa kuendeleza mgomo wao, Mkuki kwa Nguruwe sio?
Sijachungulia kwa Issa Michuzi....nae kaweka kitu au anaogopa kuichafua serikali?Inasikitisha kwa ili lililotokea!Sina sababu ya kua na shaka ya kua hapa mkono wa serekali umehusika kwa sababu nyingi kwanaza mpaka sasa serikali iko kimya inatayarisha uongo hata kama askari wa usalama wa raia wamefanya vitendo hivyo iko wapi kauli ya serikali angalau kusema inafanya uchunguzi,pili blogs zote ambazo ziko karibu na serikali ambapo wakati wote utoka na breaking News au nyuziii kama wanavyozihita wenye ambazo sitaki kuzitaja mpaka sasa ziko KIMYAAAA! MUNGU AMBARIKI NA KUMRUDISHIA AFYA YAKE MAPEMA DUA ZETU ZIKO NYUMA YAKO.
pole sana dogo......... your life is a total darknessNdo hapo sasa, madaktari ni wajinga na kisomo chao hakijawanufaisha. Hao wasiopatiwa matibabu wana tofauti gani ya utu na madakatari watakaotibiwa wakati wa mgomo? Au wao wakienda kukata gogo wanalikata huku wamesimama? Kama hawana tofauti, kuna faida gani kuruhusu watu kufa kwa kukosa matibabu ili hali kundi flani likinufaika na huduma hiyo nyeti. Ndo tuseme madai ya madaktari ya kupatiwa vitendea kazi yameshakamilishwa na ndio maana wanamtibia Dr Ulimboka? Kama bado, wamepata wapi vifaa wanavyotumia kwa sasa kumtibia huyo kiongozi wao wa mgomo?
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.