Wananchi wanakufa kila siku hospitalini ,kila siku iendayo kwa mungu kwa kukosa dawa za kawaida kabisa,vifaa vya upimaji,kucheleweshwa kusafirishwa ,acha ujinga ,think bigjitahidi kujenga hoja acha ushabiki,
ulimboka ni nani awe na thamani kuliko ma elfu ya watanzani wanaoteseka kwa mgomo?
madaktari walipo goma sijaona mtu hata mmoja akiwaita wanyama kwa mateso wanayopata watanzania wasio na hatia kwani wao sio serikali.
mlichofanya nikuendelea kuchochea vurugu
Kuna tetesi kuwa kiongozi wa mgomo wa Madaktari aokotwa pande akiwa mahitihuti! Kama habari hii ni ya kweli basi tunakoelekea siko! Ipo siku mafisadi wataburuzwa barbarani!
Serikali imetumia kila ustaarabu, mpaka kukubali kuwawachiswa waziri, naibu, katibu mkuu. Kukutana nao, kuongea nao, kuwakubalia kuongeza mishahara, kuwakubalia kuongeza allowances, mpaka kuwaambia sasa tukayamalize kisheria mahakamani lakini msigome, hawasikii.
Hivi wewe, unajuwa watu wangapi wanateseka kwa migomo ya kijinga hii. Nini wanachokitaka zaidi? kama wanavyowatesa wenzao basi na wao watateseka hivyo hivyo, tena sio huyo tu, ni wote na wanaowatumia.
Wewe una ajenda ya SIRI ya kulipotosha Jukwaa, ndio kwanza una post mbili unaleta RADICAL STATEMENTS; andika vitu vyenye kuleta TIJA na sio UJINGA
PUMBAFFFFFFFFFFF
wewe ndio mpumbafu wa mwisho kabisa mpaka umeenda kwnye NEGATIVE MPUMBAFF.. kama huoni ttz hapo bora unyamaze kuliko kutumiwa na hao wachache ambao leo hii ukipata shida hakuna atakae kujua.. kwa mara ya kwanza
nasikitika hii forum hairuhusi matusi
Mimi ninachosema ni kwamba nimesikitika sana na kipigo alichopata Dkt Ulimboka. Aidha nilisikitishwa zaidi na kitendo cha Dkt Ulimboka kutokutii amri halali ya mahakama inayobatilisha mgomo na kuagiza atekeleze agizo hilo kwa kutoa msimamo kwenye vyombo vya habari. Kitendo cha kugoma, licha ya kwamba Mahakama ishatoa agizo; na pia sentiments zilizotolewa na watu/makundi/asasi/taasisi mbalimbali kimetoa ishara kuwa MAT haikuwa tayari kuingia katika majadiliano, na wameamua kutumia nafasi yao kama watabibu kuwaadhibu wanaowatibu ili kuonyesha misuli yao kwa Serikali. Kutafsiri kuwa Serikali ndio inahusika na shambulio kwa Dkt Ulimboka ni jambo ambalo sikubaliani nalo kwa sasa, mpaka ushahidi upatikane utakaoonyesha bayana kuwa Serikali imehusika. Inawezekana Dkt Ulimboka alikusudia kwenda kutekeleza agizo la mahakama, lakini mahafidhina wachache MAT wakaamua kumshughulikia ili kutoa taswira nyengine. Inawezekana pia kuwa kuna watu wana uchungu kuona Watanzania wasio na hatia wanateseka kutokana na mgomo ambao tayari mahakama ya nchi imeuita batili wamechukua hatua mikononi mwao; au kuna masuala ya ugomvi wa Dkt ulimboka nje ya mgomo ambayo yametekelezwa na wabaya wake ili kuficha taswira hiyo. MAPENDEKEZO YA KISIASA KATIKA SUALA HILI, hususan ya kuitisha maandamano sio masuala ya kushabikia kwa sasa. Tuangalie dhahma zinazoendelea Syria na uharibifu wa mali na upotevu wa maisha tujifunze. Kwa sasa Tanzania tunapaswa tuiheshimu sana serikali yetu na kuipa SUPPORT ili tuweze kupata KATIBA MPYA. Masuala ya kuleta vurugu yataturudisha nyuma miaka 500.
Mwisho kabisa, namtakia Dkt ulimboka matibabu mema na apone haraka ili aje kutusaidia katika tiba ya nchi na uongozi wa MAT; na kuwasihi wanachama wa MAT wasigome, na wamuhudumie Dkt Ulimboka na Watanzania wengine sawia.
Wakatabahu
nyie ni maiti zinayotembea. Hamjui mtendalo. Mngekaa kule serengeti na nyani na masokwe. Ulimboka atatibiwa na mapambano yanaendelea. ****!!!!!
dhaifu kweli tetetetete.kama yeye ni pepo basi wewe ni jini.
wasiosoma ni chakula cha wasomi.
Swali langu mi nahoji kwann madaktari wameudumie yeye wakati wamegoma? Mwacheni naye aonje machungu wanayopata wagonjwa hapo hapo Muhimbili kwa kuendeleza mgomo wao, Mkuki kwa Nguruwe sio?
jitahidi kujenga hoja acha ushabiki,
ulimboka ni nani awe na thamani kuliko ma elfu ya watanzani wanaoteseka kwa mgomo?
madaktari walipo goma sijaona mtu hata mmoja akiwaita wanyama kwa mateso wanayopata watanzania wasio na hatia kwani wao sio serikali.
we ndio mshabiki mpumbafu kabisa huna soni,kabisa wananchi wameanza kufa leo, wanakufa kila siku kwa kukosa hata dawa ya kuzuia damu wakizaa,kukosa nyuzi za kushonwa ,unambiwa scan machine hazifanyi kazi ocean road,muhimbili kwenyewe,x-ray ni mikoa kumi tu zinafanya kazi,zahanati asilia 51 hazina watendaji,ambulance zimeletwa pikipiki ,watoto wanakufa kila siku kwa kukosa oxygen mie sio mjinga mwenzio naipenda nchi hii na sitakubali ujinga wa baba yako mtawala mbumbumbu anayepeleka nchi yetu kwenye moto wa petroli
Wewe mshamba nini hivi unaona staili gani iliyobaki yakuwabana hawa mafisadi, unadhani ni halali wao wanajitibu kwa Bilioni 9 nchi za nje wakati hospitali za serikali zimetengewa bilioni 4Napata shida kidogo kwamba nikupe pole wewe au wale wagonjwa ambao kwa lengo lenu la kugoma na kuiwajibisha serikali wengi wanateseka,wengine wanakufa,mama zetu wanajifungua kwa uchungu bila ya kua na msaada wowote,haya ni mateso makubwa,
Hemu tujiulize vipi kama ulimboka na yeye kama akitelekezwa aachwe bila ya huduma yoyote?
ni vyema madaktari watafute njia tofauti yakuibana serikali kwani watanzania wasio na hatia wanakufa kwa kosa la serikali
Tunaomba chama cha madaktari kuusimamia usalama wa huyu kamanda popote atakapokuwa kwani hawa jamaa wanaweza kuwa wameshampiga sumu na pia wanaweza kumrudia. "KUMBUKENI MABWEPANDE NI YA ZOMBELIZATION siyo ya maigizo, so kama mtu kafikishwa huko alikuwa amekwisha"
pole sana dogo......... your life is a total darkness
Acha kutupotosha. Dr Ulimboka sio Kiongozi wa MAT, na wala hausiki kabisa na kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kabisa. Inavyoelekea wewe ni mmoja wa watu mlioratibu zoezi la kumdhuru Dr Ulimboka ili kuleta picha kuwa ni baadhi ya wahafidhina ndani ya MAT. Nafikiri ilikuwa ni jambo la buasara wale wenye fedha huko Uswisi pia mkawafanya hivi hivi
OOOh My GOD, I feel tears shed my eyes
Sidhani kama itatokea maishani mwangu nikaipenda tena SERIKALI YA CCM!
Kama Mungu yupo pamoja nasi atakuponya Dr. Ulimboka. Our prayers are with you