hujui usemalo.... hii ni step ya kuweka tanzania kuwa serious na profeshens
Pambaf wa mwisho unataka madaktari wafanye kazi bila dhana hata kama mgonjwa atakuwa ICU ndio atapona kwa Vifaa duni?
Watu wanapelekwa kwa hisia hisia tuMimi nilichosema nasikitika kwa kutandikwa huyu Daktari. Lakini nilisikitika zaidi kwa mgomo wa Madaktari na kukaidiwa Mahakama. KAMA KUPIGWA ASHAPIGWA, hakuna kushabikia binadamu mwenzako akikutwa na mabaya.
Ila pia, tusishabikie kuvunjwa kwa amri halali ya mahakama na uamuzi wa kuwaacha watanzania wanyonge bila ya huduma; kisa kutunishia misuli Serikali. Hao wanaogoma kumkomoa JK na Pinda; wanafikiri JK au Pinda wakiugua huenda Muhimbili???
TUSISHABIKIE UPUUZI.
Kuna jamaa anauliza wakimpiga ndio mwisho wa Tatizo?
Na mimi nauliza; Kugoma ndio mwisho wa Tatizo?
Tuwe makini katika sentiments
MAHAKAMA NI ZETU
TUZIHESHIMU.
Nashangaa; Mahakama ikimvua Ubunge Lema; inatukanwa, ikisema MNYIKA aendelee na UBUNGE inasifiwa. Ikisema Mgomo wa Madaktari Sio halali inapingwa, ikimtoa Mbunge wa CCM Sumbawanga kule, inaonekana imefanya kazi sawa.
Nani wanaoenda kwe Biasness?????
THINK TWICE
Tusisahau Dr. Ulimboka ana maadui wengi. Ukiacha Serikali (well, watu wachache serikalini), kuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya aliyefutwa kazi hivi majuzi. That woman is capable of organizing this. Greedy.
eti profeshens..? bora uandike lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kuharibu lugha za watu... listen, there are so many ways to skin a cat.. so kama wao walichagua njia ya kutuulia ndugu zetu kuwa ndo sahihi mimi siafiki kabisaaaaaaaa... hata maandamano hawajafanya wamerukia kwenye mgomo baada ya kuona mazungumzo yamegonga mwamba,.. is this fare?
niliwaunga mkono mwanzoni but this time big NO.
kama mahospitalini hakuna vifaa,huyu Ulimboka anatibiwaje?
Swali langu hapa; wanaharakati wa LHRC mmefikaje huko Mabwepande? imekuwaje asiokotwe na wasamaria wema na ikiwezekana madaktari wenzie ndio wawe wa kwanza kumsaidia?
iwe serikali au mtu binafsi ubabe ni lazima kurudisha hali ya kawaida mahospitalini!madaktari wemesomeshwa na hela za wananchi afu wanagoma kuwatibu!madaktari wote waliogoma washughulikiwe kwa kufutwa kazi mara moja, wakajibu kesi mahakamani!wao waigomee serikali na si kugoma kutibu wagonjwa!ukishakubali kusomeshwa na ukawa 'dokita'kutibu ni lazima
mkweche ningekuwa president mkweche,kiongozi wa mgomo ningemchapa viboko mwenyewe!chezea kila kitu ila si uhai wa wananchi!wagoma wakati hata deni la kuwasomesha hawajalilipa!
Mkweche nimewachoka wagomaji!hata kama dawa hakuna mahospitali ila asikosekane mtu wa kutuelekeza tukanunue dawa madukani!nala buk!
Walipigiwa simu na polisi usituudhi tafadhali
Mahakama imesema mgomo usitishwe na viongozi wa mgomo watangaze kwenye vyombo vya habari watangaze kuwa hakuna mgomo mpaka jambo hili litapomalizwa kusikilizwa na mahakama.
Mwacheni akafundwe adabu huyo mzandik na muuaji wa wagonjwa wetu na watoto zetu wanaoumwa mahospitalini. Na sasa itabidi apewe adabu aseme ni nani wako nyuma yake wakimshindilia kuwa mkaidi.
Tutawajuwa na kila mmoja atachukuliwa hatua na kupewa adhabu kali sana na kama sheria hazina adhabu kali, basi tutatunga sheria ya "dharura" yenye adhabu kali sana iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Wakati mwingine sio lazima kuchangia kitu, just kaa kimya. Tunasoma ili tuishi vizuri, hatusomi tuje kuteseka, madaktari wanajua mazingira ya kazi yao sioni sababu ya wewe kutokwa na mapovu namna hii
eti profeshens..? bora uandike lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kuharibu lugha za watu... listen, there are so many ways to skin a cat.. so kama wao walichagua njia ya kutuulia ndugu zetu kuwa ndo sahihi mimi siafiki kabisaaaaaaaa... hata maandamano hawajafanya wamerukia kwenye mgomo baada ya kuona mazungumzo yamegonga mwamba,.. is this fare?
niliwaunga mkono mwanzoni but this time big NO.