Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Duhu. Kumbe jamaa wa kujirusha? unapopambana unatakiwa sehemu za starehe uzikmbieKamanda wa polisi suleman Kova anekaririwa akisema kwamba Dr ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Kamanda wa polisi suleman Kova anekaririwa akisema kwamba Dr ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Bado myk!!1
Naona kuna watu wanahusisha utekaji na utesaji aliofanyiwa DR Ulimboka na chama cha Mapinduzi, nashindwa kuelewa kinahusika vipi.hili ni swala la kisiasa kweli?
huu utawala wetu hauna tofauti na IDD AMIN, au tunaweza kusema ni heri ya IDD AMIN; au Wakoloni walitesa wazazi wetu lakini tumepata uhuru kumbe mambo ni yaleyale.
NI HERI KUTAWALIWA na MKOLONI KULIKO MWAFRIKA MWEUSI.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Duh! Simanzi imetanda moyoni mwangu, muda wote nimeona na kusoma lakini sikuweza kuandika chochote. Jamani unyama gani huu?Get well very soon Dr. Ulimboka.serikali hii always employ wrong tactic, sasa wanadhan madaktari ni watoto wadogo wataogopa na kurudi kazini bila kinyongo kwa kigezo cha kuogopa? what a mistake! i think hii ni motivation kwa madaktari kuendelea na mgomo tena in a more intense way!
KUNAVIHASHIRIA VINGI NDUGU; MFANO KAULI YA PINDA "LIWALO NA LIWE", KAULI YA MKUU WA MKOA WA DAR, KUHUSIKA KWA MAAFISA WA JESHI LA POLISI NA NYINGINE NYINGI! HAWA WOTE WANAITUMIKIA SERIKALI YA MAGAMBA!:A S confused:
Duhu. Kumbe jamaa wa kujirusha? unapopambana unatakiwa sehemu za starehe uzikmbie
Usiwe punguani wewe, kaa ufikiri japo kidogo:
Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.
Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata kinwaji katika klabu ya Leaders Kiondoni jijini Dar es salaam.
Kamanda Kova amesema Ulimboka aliokotwa na msamaria mwema ambaye hakutaka kumtaja jina lake kiusalama na kutoharibu upelelezi kuwa msamaria mwema huyo alimuokota Ulimboka katika msitu wa Mabwepande na kutoa taarifa kituo cha polisi cha Bunju, ambapo polisi aliyekuwa zamu alichukua maelezo yake na baadae Steven Ulimboka kuletwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Kamanda Kova amesema jeshi la Polisi Kanda Maalum limeunda jopo maalum kwa ajili ya uchunguzi na upelelezi wa tukio hilo la utekaji nyara, kwani ni tukio la kwanza kutoke nchini, ameongeza kwamba wahusika wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo wachukuliwa hatua za kisheria na sheria itafuata mkondo wake ili kukomesha matukio mengine kama hayo
Waandishi wa habari waimsikiliza kamanda Suleiman Kova katika kituo kikuu cha polisi Kati jijini Dar es salaam leo mchana.
Dk Steven Ulimboka akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana baada ya kutekwa na kupigwa vibaya usiku wa kuamkia leo na kuokotwa huko Mabwepande.
Kiganyi, JF.
Health - Wotepamoja