Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kamanda wa polisi suleman Kova anekaririwa akisema kwamba Dr ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.
Duhu. Kumbe jamaa wa kujirusha? unapopambana unatakiwa sehemu za starehe uzikmbie
 
Kova aache hizo propaganda kwa sababu ikija kuthibitika vinginevyo atakuwa wa kwanza kuiacha Ofisi:lie:
 
hahahahahahaha,kweli hawa watu sio wadhaifu tu,yaani ni wafu,marehemu wanaoishi.hata aibu hawana,
 
Kamanda wa polisi suleman Kova anekaririwa akisema kwamba Dr ulimboka ametekwa akiwa Club na watu wasiojulikana akiwa anakunywa kinywaji na kuahidi kwamba uchunguzi unaendelea kuhusiana na tukio hilo.

wanaweza kujichunguza wenyewe na kuja na critical outcome kweli?
 
Tuachieni vyombo vya usalama vifanye kazi yao na ukweli utajulikana.

Tayari taarifa iliyoletwa hapa awali inakinzana na taarifa ya Kova, tuliambiwa kwamba Ulimboka alikuwa kwenye mkutano na watu wasiojulikana hapa tunaambiwa alikuwa anakata kilaji! This is just the beginning
 
Huyo naye ni kibaraka tu, ukweli utajulikana kwa mgonjwa maadamu amepona atakapopata nguvu atasema ukweli huyo asijikoshe kwa wananchi.
 
Itabidi waendeleze mgomo
ina maana ccm wanashindwa kutumia akili na badala yake wanatumia nguvu
 
Naona kuna watu wanahusisha utekaji na utesaji aliofanyiwa DR Ulimboka na chama cha Mapinduzi, nashindwa kuelewa kinahusika vipi.hili ni swala la kisiasa kweli?

Think outside the box ndugu yangu hii hauhitaji ujue inteligensia kuweza kujenga picha..Kiongozi alisema Liwalo na Liwe..waliohusika ni AKSARI wakiwa na bunduki zao..Sasa kuna chama cha Siasa chenye mamlaka juu ya askari kuwaamuru zaidi ya CCM?
 
kova bwana ananifurahisha sana ...yaani bila hata kuuliza kamata Pinda weka ndani halafu ataje wenzie..hivi hawa polisi vii hawa
 
ni kwamba kova amezoa kukurupuka hata issue ya jerry muro alikuja mpaka na kitabu cha sheria leo hii tumeona. sasa ya dk ulimboka nadhani jeshi hakuja jipya itakalo toka nalo kwani wanajua bana. uonevu hauwezi kushinda haki
 

huu utawala wetu hauna tofauti na IDD AMIN, au tunaweza kusema ni heri ya IDD AMIN; au Wakoloni walitesa wazazi wetu lakini tumepata uhuru kumbe mambo ni yaleyale.

NI HERI KUTAWALIWA na MKOLONI KULIKO MWAFRIKA MWEUSI.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Unamkumbuka Askofu Jaanan Luwum?????? Tom Mboya na JM Kariuki?? Mtindo ni ule ule. Tafakari na Chukua hatua
 
serikali hii always employ wrong tactic, sasa wanadhan madaktari ni watoto wadogo wataogopa na kurudi kazini bila kinyongo kwa kigezo cha kuogopa? what a mistake! i think hii ni motivation kwa madaktari kuendelea na mgomo tena in a more intense way!
Duh! Simanzi imetanda moyoni mwangu, muda wote nimeona na kusoma lakini sikuweza kuandika chochote. Jamani unyama gani huu?Get well very soon Dr. Ulimboka.
 
KUNAVIHASHIRIA VINGI NDUGU; MFANO KAULI YA PINDA "LIWALO NA LIWE", KAULI YA MKUU WA MKOA WA DAR, KUHUSIKA KWA MAAFISA WA JESHI LA POLISI NA NYINGINE NYINGI! HAWA WOTE WANAITUMIKIA SERIKALI YA MAGAMBA!:A S confused:

Mjanga, Mkuu wa Mkoa wa DAR amesema nini kuwa detailed tafadhali? kwa swala la Pinda ni vyema tukasubiri tamko la serikali kesho.
 
Duhu. Kumbe jamaa wa kujirusha? unapopambana unatakiwa sehemu za starehe uzikmbie

kuna ubaya gani kujirusha kenge wewe? haswa ikiwa wakati usio wa kazi? au unafikiria kila mtu mjahidina Tanzania? mataako yako...!
 
Usiwe punguani wewe, kaa ufikiri japo kidogo:

Haiingii akilini kwa binaadam yeyote mwenye fikra japo kidogo, eti Serikali wakuchukuwe, wakupige, wakutupe Mabwepande halafu waje haki za binaadam kukuota.

Kwa hiyo unataka kusema ni watu wa Haki za Binadamu ndio waliomteka na kumpiga.

Mmeshaanza tayari kujitetea.

Bila shaka leo au kesho PM atatoa kauli ya kuunda tume kuchunguza kama kawaida hatutashangaa.

Iliundwa tume ya kuchunguza mauaji ya Wafanyabiashara wa Mahenge na hatma yake Mungu ndiye anajua.

Tume zinamaliza pesa za walalahoi, ni heri pesa ya kuundia tume ikaongeze vitanda mahospitalini na kumaliza matatizo katiak huduma ya afya.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 


Kamanda wa polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tukio la utekaji nyara na kujeruhi lililompata kiongozi mgomo wa Madaktari Steven Ulimboka anayedaiwa kutekwa na watu watano wakati akipata kinwaji katika klabu ya Leaders Kiondoni jijini Dar es salaam.



Kamanda Kova amesema Ulimboka aliokotwa na msamaria mwema ambaye hakutaka kumtaja jina lake kiusalama na kutoharibu upelelezi kuwa msamaria mwema huyo alimuokota Ulimboka katika msitu wa Mabwepande na kutoa taarifa kituo cha polisi cha Bunju, ambapo polisi aliyekuwa zamu alichukua maelezo yake na baadae Steven Ulimboka kuletwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.



Kamanda Kova amesema jeshi la Polisi Kanda Maalum limeunda jopo maalum kwa ajili ya uchunguzi na upelelezi wa tukio hilo la utekaji nyara, kwani ni tukio la kwanza kutoke nchini, ameongeza kwamba wahusika wote watakaobainika kuhusika na tukio hilo wachukuliwa hatua za kisheria na sheria itafuata mkondo wake ili kukomesha matukio mengine kama hayo



Waandishi wa habari waimsikiliza kamanda Suleiman Kova katika kituo kikuu cha polisi Kati jijini Dar es salaam leo mchana.



Dk Steven Ulimboka akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana baada ya kutekwa na kupigwa vibaya usiku wa kuamkia leo na kuokotwa huko Mabwepande.

Kiganyi, JF.
Health - Wotepamoja


Waandishi hawajamwuliza kwamba kuhusu yule askari polisi aliyekuwepo pale Muhimbili, aliyekuwa anapiga simu akiwa chooni kuwa Dr. Ulimboka bado hajafa....... anahema?
 
Back
Top Bottom