Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..

At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?

Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...

Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?

Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.
 
Yaani inasikitisha nchi yetu hii tunakwenda wapi ndugu? Inatia uchungu sana. Kumbe ndio sababu hata leo hatujaambiwa kama amri ya mahakama wameitii au vipi kwa sababu kiongozi wao hakuwepo kuwapa taarifa.
Kumbe alikuwa hoi kwa kipigo maskini; pole sana dk umboka get well soon.
 
Sasa tukisema serikali dhaifu wengine humu mpaka povu zinawatoka.. lakini hawajiulizi posho wanasiasa/vigogo na tume mbalimbali wanazolipana licha ya mishahara minono, linapokuja swala la utatuzi wa kero ndio maswala kama haya ya kutekwa au hata kuuwawa, kwa serikali imara hiyo haiwezekani bali kwa serikali dhaifu tu.
 
Jamani this is iserious nimepigiwa simu sasa hivi na watu wa legal and human rights center wameniambia wametoka kumchukua Dr Ulimboka kule mwabepande amepigwa vibaya sana na ni emergency wanampeleka MOI sasa hivi please tunaomba mtume habari hii kila mahali please! Ni habari ya uhakika sana nimeomngea na Patience Mlowe wa Legal and Human Rights center. Chanzo: Colleague ambaye yuko naye sasa!
Wanampeleka MOI kufanya nini si kuna mgomo alouasisi yeye?? Hakujua na yeye ni mwili na damu?? kwani aliwahi kumuona kikwete au pinda au hessein mwinyi kwenye foleni muhimbili?? unagomea walalahoi wenzako ...hao waliorudishwa kwenye machela si ni binadamu kama yeye??
 
[TABLE="width: 491"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]ongozi wa Madaktari Atekwa, Aokotwa Akiwa Hoi[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
[TD]
6493506.jpg

Dokta Ulimboka baada ya kuokotwa[/TD]
[TD]MWENYEKITI WA chama cha Madaktari, Tanzania, Dkt. Steven Ulimboka ameokotwa eneo la Mabwepande akiwa hoi baada ya kutekwa na watu asiowafahamu jana.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 3"]Kufuatia hali hiyo, Ulimboka amefikishwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili katika Wodi ya kitengo cha mifupa, Moi kwa ajili ya matibabu baada ya kujeruhiwa kwa mapanga.

Majira haya Ulimboka amepokelewa hospitalini hapo na umati wa watu kwa huzuni tele akiwa na majeraha kwenye baadhi ya viungo vyake.

Kwa mujibu wa yeye mwenyewe akiongea kwa tabu Dkt. Ulimboka amesema kuwa " nilitekwa jana majira ya saa 6 usiku, na watu watano wakiwa na bunduki na kuniuliza wenzangu, nikawajibu hawapo wakaniambia tutakuchukua wewe peke yako".

"Tulipofika eneo walilolitaka wakanivuta kwenye rami chini na kunipa kipigo kisha kuniingiza kwenye gari nyeusi ambayo haikuwa na namba" amesema Ulimboka kwa shida kwa jinsi alivyoweza kukumbuka tukio hilo.

Wakati Ulimboka anafikishwa hospitalini asubuhi hii, kuna askari alijitokeza akiwa na redio call alivamiwa na watu na kuanza kupigwa na alikuja kuokolewa na badhi ya askari waliokuwa maeneo hayo.

Kufuatia hali hiyo hadi habari hii inandikwa leo majira haya ya saa 6 mchana askari wa kutuliza fujo FFU wametanda hospitalini hapo[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kiongozi wa Madaktari Atekwa, Aokotwa Akiwa Hoi
 
Nasubiri kauli ya serikali kesho. Wakubwa wanaweza kutoa kauli za ajabu kesho na kama kawaida wabunge wa CCM watapiga makofi na hata kushangilia. Natabiri kikao kitaongozwa na Spika mwenyewe ili amuokoe swaiba wake Pinda.

Ila niseme hivi, serikali na CCM kwa jumla wako nyuma sana and out of touch. Labda kwa sababu wamekaa madarakani kwa muda mrefu hivyo wamesahau maisha ya uraini yakoje na watu wanafiria nini. Matokeo yake wanaendesha mambo kizamani na kimabavu mno. Kesho nasubiri kauli.
 
Wanampeleka MOI kufanya nini si kuna mgomo alouasisi yeye?? Hakujua na yeye ni mwili na damu?? kwani aliwahi kumuona kikwete au pinda au hessein mwinyi kwenye foleni muhimbili?? unagomea walalahoi wenzako ...hao waliorudishwa kwenye machela si ni binadamu kama yeye??
wamempeleka MOI kumtibu.......... Tena kwa taarifa yako matibabu anayopewa hata rais wako hajawahi kupewa; under specialists care for 24hrs tumepeana shifts.
 
Dah....................... pole sana kaka. MUNGU atakuponya tambua tu kuwa watanzania wengi tuko pamoja nawe.

Hivi watanzania tumerogwa na nani?

We acha tu MJ1...Yaani hii kitu imenikosesha raha sana. Kutaka kumuua mtu kwa kudai haki ambayo Watanzania wengi tunaona wanastahili na pia kuziboresha Hospitali zetu...Wakati mafisadi wa EPA, Rada, Kiwira n.k. wanaendelea kupeta....Nchi haina muelekeo kabisa na hawa walio madarakani hawastahili kuwepo maana kazi imewashinda sasa wanaanza kujihami kwa kuwaua Watanzania.
 
Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..

At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?

Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...

Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?

Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.

THE PHYSICIAN'S OATH

  • I solemnly pledge myself to consecrate my life to the service of humanity;
  • I will give to my teachers the respect and gratitude which is their due;
  • I will practice my profession with conscience and dignity;
  • The health of my patient will be my first consideration;
  • I will respect the secrets which are confided in me;
  • I will maintain by all the means in my power, the honour and the noble traditions of the medical profession;
  • My colleagues will be my brothers and sisters;
  • I will not permit considerations of religion, nationality, race, gender, politics, socioeconomic standing, or sexual orientation to intervene between my duty and my patient;
  • I will maintain the utmost respect for human life; even under threat, I will not use my medical knowledge contrary to the laws of humanity;
  • I make these promises solemnly, freely and upon my honour.
  • JIBU LAKO LIPO KWENYE BULLET ILIYOBOLD KWA WEKUNDU.
 
Huwezi kumlazimisha Daktari kwa buduki , Serikali acha mchemsho huu
 
Ni bahati mbaya nimekuwa busy sijaweza kuchangia wala kupitia maoni ya wachangiaji wengine na pia kutokana na ujinga unaoendelea kujitokeza jukwaani kuona wenye mawazo tofauti kuwa wametumwa na nape nk naomba nisichangie....ila nakumbuka jumamosi iliyopita nilimuuliza mchangiaji mmoja kuwa just imagine unasafiri then yanakukuta ya kukukuta njiani halafu mgomo unaoushabikia unaendelea...fumba macho then uone hiyo picha..

At the end tulikubaliana kutokuelewana... Nachotaka kusema hapa ni kuwa bila kujali ulimboka kafanya/kafanywa nini pengine na nani bali yuko kama tunavyomuona kwenye picha...(mimi si mmojawapo wa wanaoshabikia mabaya) lakini bila huduma za madaktari (pamoja na ukweli kuwa yeye ni daktari) asilimia za kumkosa ni kubwa...je ni wangapi kuanzia kule Kintinku, Misenyi, Nguruka, Lituhi, Namanyere, Karumeli, Mbambabay Nyachabakeni, Muhoro, nk nk wanaopatwa na masahibu kama haya na wanaathirika na mgomo alouasisi yeye na hatimaye kufa kwa kukosa huduma?

Hivi maisha ya mtu yana mbadala?? serekali wanayoigomea inaathirika vipi na hili? yanini tunamalizana wenyewe kwa kudhani kuna tunayemkomoa serekalini? ...acha niwe kilaza katika hili ila bado sielewi madaktari na wanaowaunga mkono... wangetenganisha madai ya mshahara na madai ya mazingira bora ya kufanyia kazi wangeeleweka vizuri sana na tungewaunga mkono saana tu...lakini madai ya mshahara wa millioni 3 kufichwa ndani ya madai ya kuboresha huduma ...nitakuwa wa mwisho kuelewa...

Hakuna aliyelazimishwa kuwa daktari ila ukeshakuwa daktari una kiapo cha kutumikia wagonjwa...leo mzima kesho nani anajua UTAKUWA KAMA ULIMBOKA?? Alijua kuwa atakutana na alokutana nayo? Hasha...sitaki na wala sitaingika kwenye mjadala wa ama ameshughulikiwa na serekali, amefumaniwa amepata ajali...what ever the case lakini wapo watanzania wangapi ambao hawajiwezi (kama yeye) na sasa wanavuta pumzi za mwisho bila msaada kutokana na mgomo alouasisi?

Mbona wenzie hawakugoma kwake?? wamelipwa millioni 3? Nakaribisha matusi kama ilivyo kawaida ya JF nowadays ....kwamba lazima tuwaze yanayofanana.

Mkubwa mimi niko pampja na wewe.Tatizo la hawa madaktari wanadhani na kujiona wao ni muhimu kuliko watumishi wengine.Halafu madai sio realistic,mshahara wa 3 million??!!!Watu wanataabika na pengine kufa wao wakishuhudia lkn wakiendelea na mgomo.Halafu hiyo Dr Ulimboka anaenda na rafiki yake kwenye issue kubwa kama hiyo tena inayohusu nchi nzima!Kwani hiyo kamati ya madaktari ni ULIMBOKA NA RAFIKI YAKE TU?Huyu
ni corrupt na hafai maana inaonekana anaweza kununuliwa na kuwasaliti wenzake.Hiyo kuitwa ili WAKAYAMALIZR yeye alijua anaitiwa dili ili akatengeneze pesa.Badala yake ndio yamempata hayo.Sishabikii itekaji na unyanyasaji aliofanyiwa Dr Ulimboka,lakini SI MTU MAKINI.
 
Duh..inasikitisha eti Tanzania kisiwa cha amani. Pole sana Dr. Ulimboka. Mungu akujalie upone haraka. So sad..
 
Masikini wa akili wewe!
Mkubwa mimi niko pampja na wewe.Tatizo la hawa madaktari wanadhani na kujiona wao ni muhimu kuliko watumishi wengine.Halafu madai sio realistic,mshahara wa 3 million??!!!Watu wanataabika na pengine kufa wao wakishuhudia lkn wakiendelea na mgomo.Halafu hiyo Dr Ulimboka anaenda na rafiki yake kwenye issue kubwa kama hiyo tena inayohusu nchi nzima!Kwani hiyo kamati ya madaktari ni ULIMBOKA NA RAFIKI YAKE TU?Huyu
ni corrupt na hafai maana inaonekana anaweza kununuliwa na kuwasaliti wenzake.Hiyo kuitwa ili WAKAYAMALIZR yeye alijua anaitiwa dili ili akatengeneze pesa.Badala yake ndio yamempata hayo.Sishabikii itekaji na unyanyasaji aliofanyiwa Dr Ulimboka,lakini SI MTU MAKINI.
 
Mungu hazihakiwi, apandacho mtu(serikali) ndio atakachovuna! Laana iko mbioni, mimi sijui. Mungu mponye mjoli wako na ujilipizie kisasi mwenyewe
 
Mkubwa mimi niko pampja na wewe.Tatizo la hawa madaktari wanadhani na kujiona wao ni muhimu kuliko watumishi wengine.Halafu madai sio realistic,mshahara wa 3 million??!!!Watu wanataabika na pengine kufa wao wakishuhudia lkn wakiendelea na mgomo.Halafu hiyo Dr Ulimboka anaenda na rafiki yake kwenye issue kubwa kama hiyo tena inayohusu nchi nzima!Kwani hiyo kamati ya madaktari ni ULIMBOKA NA RAFIKI YAKE TU?Huyu
ni corrupt na hafai maana inaonekana anaweza kununuliwa na kuwasaliti wenzake.Hiyo kuitwa ili WAKAYAMALIZR yeye alijua anaitiwa dili ili akatengeneze pesa.Badala yake ndio yamempata hayo.Sishabikii itekaji na unyanyasaji aliofanyiwa Dr Ulimboka,lakini SI MTU MAKINI.

Hilo nalo neno.
 
Kugoma ni akili za kipumbavu?
Nadhani mwenye akili za upumba%u ni wewe kwani umeridhika na UDHAIFU wa Serikali yako!!

Mkuu sasa Ujanja/Werevu wakugoma ni nini/ni upi? Naona Ugomaji ndio Udhaifu wa Kwanza na Mwisho! Hebu tuamini na tukubali japo kwa masaa tu kuwa Serekali ni DHAIFU sasa Inawashindaje/Inatushindaje kuiondoa??
 
Kitu gani hii! Sasa wanaipeleka nchi pabaya, wameishiwa na hoja?
 
Tuisubiri Polisi waliomteka, wakampiga, wakamjeruhi, na kudhani wamemuua baada ya mateso makali wachunguze?

You are not serious, yaani ilichofanya serikali, hata my 5 year old child ambaye aliekua anafuatiliua huu mkasa wa madaktari na serikali amesema hii itakuwa ni wale watu wanaomtaka aache kugoma na yeye amekataa (akimaanisha serikali).

Serikali wamefanya hiki kitendo, na bahati mbaya kwao walio na shetani Mungu wetu amempigania, walipomwacha wakijua amekufa, sasa itakula kwa serikali maana ukweli utajulikana hata ikitulazimu kuingia vitani, LIWALO NA LIWE (By Pinda)

Nimeichukia hii serikali leo, siwezi kufananisha na chochote. Ni ya kipuuzi sana

Aisee !!!!!! Huyo mwanetu wa miaka 5 alikuwa anafuatilia mgomo wa madaktari ni yule wa Mwaka wa pili last year Mlimani!!??? A 5yrs old = Ben 10 na sio kufuatilia mgomo wa madaktari. Hapo umetutia ndimu kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom