ThinkPad
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 1,844
- 235
Yaani kuna mamtu yanaongea vitu yasivo vijua yana khera sana, Unakuta limtu linakaa dar wala halijawah kwenda vijijini alafu eti linasema eti huduma ya afya ni nzuri tu mtu kama huyo sijui tumuweke fungu gani maana kundi halimfai, Juzi niko kwenye hiace natoka Mugumu yaani njiani tulibeba mtoto mmoja mgonjwa watu walisema ana nimonia yaani kidogo afie kwenye gari na wala sijui kama alipona masaa matatu kweli mnatembea na gari njiani unapita vijiji hakuna huduma ya afya maana walisema angechomwa sindano ya ampclox ingemsaidia ilinisikitisha maana mtoto alikuwa anakoroma kwanguvu alafu barabara mbaya dereva anaendesha gari taratibu abilia wanalalamika amwaishe mgonjwa, kweli uduma ziboleshwe.