Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Yaani kuna mamtu yanaongea vitu yasivo vijua yana khera sana, Unakuta limtu linakaa dar wala halijawah kwenda vijijini alafu eti linasema eti huduma ya afya ni nzuri tu mtu kama huyo sijui tumuweke fungu gani maana kundi halimfai, Juzi niko kwenye hiace natoka Mugumu yaani njiani tulibeba mtoto mmoja mgonjwa watu walisema ana nimonia yaani kidogo afie kwenye gari na wala sijui kama alipona masaa matatu kweli mnatembea na gari njiani unapita vijiji hakuna huduma ya afya maana walisema angechomwa sindano ya ampclox ingemsaidia ilinisikitisha maana mtoto alikuwa anakoroma kwanguvu alafu barabara mbaya dereva anaendesha gari taratibu abilia wanalalamika amwaishe mgonjwa, kweli uduma ziboleshwe.
 
We acha tu MJ1...Yaani hii kitu imenikosesha raha sana. Kutaka kumuua mtu kwa kudai haki ambayo Watanzania wengi tunaona wanastahili na pia kuziboresha Hospitali zetu...Wakati mafisadi wa EPA, Rada, Kiwira n.k. wanaendelea kupeta....Nchi haina muelekeo kabisa na hawa walio madarakani hawastahili kuwepo maana kazi imewashinda sasa wanaanza kujihami kwa kuwaua Watanzania.

wana Jf isije ikawa wezi wa trilion zetu walizoficha uswiss wamehusika ili tusiwahoji ili tushughulike na kamanda wetu Ulimboka. walah hatoki mtu wote tutapambana nao.
 
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
 
Kasimba 123

Unaona!

Mahakama iliposema Mnyika Katetea Jimbo na ameshinda Kesi haikuwa MAHAKAMA PUUZI.

Ila Kwa Lema imekuwa Puuzi!

Jamani, sheria ni msumeno,

Mahakama ni za serikali kama ni zetu zisingefanya upuuzi walioufanya arusha
 
hizi theories za uwongo na kweli zitajaza jukwaa. Kila mtu anakuja na lake

Yaweza kuwa kwa vile kwa kufanya hivi Blandina anauwa ndege waili kwa jiwe moja. Analipa kisasi kwa Ulimboka na kuibebesha lawama serikali.
 
kama ni kweli how come polis wahusike?....iwe ni yeye au serikali kwa ujumla wamechemka kwani kila walipangalo linafel na Mungu azidi kuwaumbua tu
 
Ngoja tusubiri yatafumuka mengi kwa hili tukio
 
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.

kawaida ukila ugali wa asubuhi lazima uvimbiwe..umevimbiwa wewe
 
Anahusika au vinginevyo,damu iliyomwagika haitaenda hivi hivi,Get well soon Dr Uli
 
Hivi ninyi CCM mnadahni tabia zenu na mtendo yenu ya kila siku ni kama siri za chumbani na wake zenu??

Mko very sloppy katika maongezi yenu na mtendo yenu. Mkilewa mnapayuka ovyo na majigambo ya kichawi.

Kuua muueninyi lawama apewe BLANDINA NYONI??

Kweli CCM ni CHAMA CHA MAJAMBAZI.

Mpango wenu ulikuwa kumuua ulimboka, umeburunguka sasa mmemteua BLndina Nyoni awe kondoo wa kafara ya makosa yenu. Mnadhani kummaliza mtu aliyekwisha malizwa itwapa unafuu??
Njama zenu haziwezi kufanikiwa hata siku. Wote Mshindwe na kulegea makalio yenu na midomo yenu ilegee kaa chewa
Tabia yenu ya kutisha watu, kuwabana kende zao na kuua ili kumaliza tofauti hamjaanza leo ni tabia ya siku nyingi sana.

Rafiki yangu Mbatia enzi zake alipokuwa Mbatia wa ukweli aliwahi kubanwa kende na kuambiwa akubali kwamba anatumiwa na CIA kuleta vurugu pale Chuo kikuu. Baada ya kuonjeshwa fedha haramu na uheshimiwa kafyata mkia kaa mbwa aina ya Chihuahua na kukubali kula matapishi ya CCM. Njaa mbaya sana.

CCM kama chama kinachounda serikali ni wauaji, sifa hiyo mnayo siku zote imesha anza hata kuota mvi.

Huu uongo wa kumsingizia Blandina Nyoni hauwezi kusimama. Acheni udhaifu na woga.

Hivi mlidhani mtaendelea kuua na kusingizia majambazi na sisi wananchi kuendelea kukubali uongo wenu milele?

UWT na Polisi wana vikosi vya mauaji vinavyo tumiwa na Ikulu na Ofisi ya PM kunyamazisha watu.
CCM wana vikosi vya vijana wavuta bangi kwajili ya kuleta fujo nchi nzima.
Ninyi uzao wa Maharamia mngependeza kweli mngeshona suti za kijani za kitambaa cha urafiki ( Madurufu) na tai za njano kama wassenge wa hapa US.

Kaongeleeni uongo wenu kwenye mikutano ya NEC siyo hapa JF.

Fanyeni mkutano mwingine wa NEC kumchagua kondoo mwingine miongoni mwenu Blandina Nyoni tumemkataa.
 
Back
Top Bottom