Gwankaja Gwakilingo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 1,996
- 616
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Dr ULIMBOKA limefanywa na baadhi ya vyama vya upinzani ikiwa ni njia ya kuwapandikizia wananchi chuki zaidi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Akiongea kwa kuijiamini sana mpelelezi huyo amesema wameshaanza kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo lakini awali picha ya tukio zima linawafanya waamini Serikali haijahusika kwa namna yeyote kwa hili.
Mengi tutayasikia na kuyashuudia Tanzania ni zaidi ya uifikiriavyo.
Get well soon Dr ULIMBOKA na haki itatafutwa hata kwa upanga.
Keep it up.
tusipotezeane kwa vitu ambavyo vitaharibu uchunguzi , hana ubavu huo, very soon tutajua ukweli watakapoanza kuumbuana.Inawezekana ikawa kweli..!
Ila hata wengine ambao maslahi yao yamepotea kutokana na mgomo huo lazma watakuwa wameshirikiana katika kutimiza hilo!
Get well soon Ulimboka