Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

yoyote alie fanya au alie tuma hakumtendea haki baba wawatu, mwenyezi mungu atamlipia hapa hapa duniani muhimu na subra......
 
Jamani Mimi siyo mchawi wanacho kifanya hawa kijani mimi sioni kama ni utu.... Fananisha Kauli ya Mizengi Pita kayanza Pinda... "" Liwalo na liwe"" na tukio la huyu jamaa Mwenye kiti wa MATI Dr. Ulimboka.

Jibu ni nini?
 
Hapa ni kumwonddoa muhusika na kumwingiza mtu mwingine kukwepa shutuma, kama ilivo sasa watu hawataki kusema rais ameshindwa kuongoza na wanasema eti watendaji wa chini ndo wanamwangusha huu ni upuuzi unaofaa kupuuzwa kwa nguvu zote, Ukweli ni Uhuru
 
hii serikali ina michezo michafu sana...ulimboka anaweza kutoa ushahidi mzuri sana akipona........
 
Mod kuna habari zingine hizi zinachefua sana mtu naweza pata ban kwa sababu ya hizi ishu hebu futa uzi huu,unatia hasira!
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Dr ULIMBOKA limefanywa na baadhi ya vyama vya upinzani ikiwa ni njia ya kuwapandikizia wananchi chuki zaidi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Akiongea kwa kuijiamini sana mpelelezi huyo amesema wameshaanza kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo lakini awali picha ya tukio zima linawafanya waamini Serikali haijahusika kwa namna yeyote kwa hili.
Mengi tutayasikia na kuyashuudia Tanzania ni zaidi ya uifikiriavyo.

Get well soon Dr ULIMBOKA na haki itatafutwa hata kwa upanga.
Keep it up.

****!!!!!!!!!!!! dhana hiyo haitabadilisha ukweli. get well soon Dr. Ulli.
 
Inawezekana ikawa kweli..!
Ila hata wengine ambao maslahi yao yamepotea kutokana na mgomo huo lazma watakuwa wameshirikiana katika kutimiza hilo!
Get well soon Ulimboka
tusipotezeane kwa vitu ambavyo vitaharibu uchunguzi , hana ubavu huo, very soon tutajua ukweli watakapoanza kuumbuana.
 
hawa wapelelezi waliowekwa na serikali ya ccm ni afadhali hata tungekuwa na wale mgambo wanaofukuzana na wamachinga wafanye kazi za upelelezi kuliko hao wanaoitwa wapelelezi
 
ushindwe na uwe dhaifu kwa kitu katika maisha yako
 
ni kutafuta mtu wa kumshutumu na kumwacha muhusika akiendeleza unyama huu usiokubalika ktk jaamii ya wastaraabu, tulisha pita huko hatuwezi kurudi kwenye UDIKTETA wa kunyamazisha watu wanaodai haki. ccm haikubaliki isitutie kwenye machafuko
 
Hatujasahau ya Abdalah Zombe. Mwishowe mtaja ukataa ukwdli. Dr. Ulimboka akipona mwandalieni cheo cha kumyamazisha kama Mwakyembe maana ndizo zenu ccm.
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Dr ULIMBOKA limefanywa na baadhi ya vyama vya upinzani ikiwa ni njia ya kuwapandikizia wananchi chuki zaidi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Akiongea kwa kuijiamini sana mpelelezi huyo amesema wameshaanza kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo lakini awali picha ya tukio zima linawafanya waamini Serikali haijahusika kwa namna yeyote kwa hili.
Mengi tutayasikia na kuyashuudia Tanzania ni zaidi ya uifikiriavyo.

Get well soon Dr ULIMBOKA na haki itatafutwa hata kwa upanga.
Keep it up.

Njooni na melody zozote hatutakubali tulipokuwa tunaambiwa watu wetu wa usalama wa taifa hawana shule tulikuwa tunabisha strateguist gani wa usalama wa taifa atatekeleza plot ya kuumua kiongozi wa madaktari katika kipindi tete kama hiki hivi nyie munawachia CCM na serikali yake wanauza kila kitu kwenye nchi hii nyie wenyewe munashindwa kudai fedha za kwenda kusoma kupata maarifa namna ya kuendesha secret killings aibu aibu mumeidhalilisha idara yenu kuanzia sokoni vyuoni,shuleni,shambani,hospitalini,majumbani kila mtu wanajua IKULU na Usalama wa Taifa wametaka kumuua Dr Ulimboka ,
 
we umejitungia maneno yako unakuja kuhadaa watu hapa waingie kichwakichwa, acha upuuzi
 
ivi kwanini dr aliamua kwenda na mwezie TU iyo saa 6 usiku akutane na who-so-ever davis???
 
Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa tukio la kutekwa na kupigwa vibaya kwa Dr ULIMBOKA limefanywa na baadhi ya vyama vya upinzani ikiwa ni njia ya kuwapandikizia wananchi chuki zaidi dhidi ya serikali iliyopo madarakani.
Akiongea kwa kuijiamini sana mpelelezi huyo amesema wameshaanza kufanya uchunguzi juu ya tukio hilo lakini awali picha ya tukio zima linawafanya waamini Serikali haijahusika kwa namna yeyote kwa hili.
Mengi tutayasikia na kuyashuudia Tanzania ni zaidi ya uifikiriavyo.

Get well soon Dr ULIMBOKA na haki itatafutwa hata kwa upanga.
Keep it up.

wewe kapokee ujira wako kibaraka wewe unafanya mzaha na maisha ya watu??
 
Wanacheza kweli hawa..sasa hawa wa sauzi nani kawashawishi?

a06img01.jpg
 
Back
Top Bottom