HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Nikuulize mkirua, nchi zinapowekewa vikwazo vya kiuchumi, wananchi huwa wana kosa gani, ili hali wao ndio wahanga wakubwa wa vikwazo, na serikali yetu imeshiriki uamuzi wa kuwekea vikwazo serikali nyng tu!
Aliyetoa amri ya kumuua Ulimboka ni Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupitia idara ya usalama wa taifa nyakati hizi ni nyakati za uelewa hatutadanganyika kamwe
utawala unaotumia damu za wananchi kuendelea kutawala sikuzote zimeanguka vibaya na kwa aibu mno
namuonea huruma kikwete kuingia kwenye udikteta wakati anawatoto ambao hawajafika hata miaka kumi atakimbia nao kwenda nchi gani maskini ambako hawatachorwa kuwa watoto wa dikteta
Story za vijiweni! WHERE IS THE EVIDENCE?kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
Hizi theories za uwongo na kweli zitajaza jukwaa. Kila mtu anakuja na lake
Ili tuweze kujiridhisha nani hasa anahusika na hili tukio kuna haja ya kutumia vyombo vya kimataifa kwenye kupata ukweli hata kwa gharama binafsi kama serikali haitaridhia..kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
Watanzania wangapi wanaokufa kwa huu mgomo haramu? hilo umefikiria? au huyo kibaraka mmoja ni bora kuliko maelfu kama si malaki ya Watanzania wanaokosa huduma?
Nna uhakika waliomfanyizia hawaitakii mema Tanzania na wamemtumia huyo kama chambo, na alivyokuwa na tamaa akadhani anakwenda kupewa mlungula kumbe anakwenda kuchezea kichapo na kufanyiwa makusudi akumbuke maneno wanaotaka aje kuyasema ili kuwavuruga Watanzania.
Nakubaliana na Pasco, ma professionals huwa hawafanyi hivyo, huwa wanakumaliza au wanakupoteza tu, hawakisii. Hawa waliofanya hivi wamefanya makusudi kabisa halafu wakawapigia simu hao wanaojiita human rights na wao amma wamemezeshwa mshipi, ndoano na chubwi au wanajuwa kinachoendelea.
serikali hii always employ wrong tactic, sasa wanadhan madaktari ni watoto wadogo wataogopa na kurudi kazini bila kinyongo kwa kigezo cha kuogopa? what a mistake! i think hii ni motivation kwa madaktari kuendelea na mgomo tena in a more intense way!
Hii itakuwa bado ngumu kuupata ukweli ila yote sawa cha msingi hawakumuua tuIli tuweze kujiridhisha nani hasa anahusika na hili tukio kuna haja ya kutumia vyombo vya kimataifa kwenye kupata ukweli hata kwa gharama binafsi kama serikali haitaridhia..
Aliyetoa amri ya kumuua Ulimboka ni Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupitia idara ya usalama wa taifa nyakati hizi ni nyakati za uelewa hatutadanganyika kamwe
utawala unaotumia damu za wananchi kuendelea kutawala sikuzote zimeanguka vibaya na kwa aibu mno
namuonea huruma kikwete kuingia kwenye udikteta wakati anawatoto ambao hawajafika hata miaka kumi atakimbia nao kwenda nchi gani maskini ambako hawatachorwa kuwa watoto wa dikteta
watu hawataki kufikiri nahamini kama serikali ilifanya hv ingempoteza kufuta ushahd lakin iweje haachwe hai!ebu tujarib kufikiri.swali kunawatu walipambana kumuokowa au hamekutwa katupwa 2!
Na pia tujiulize kama kweli wanausalama wote ni pro-Serikali kweli. Maana mbona siri za serikali zimekuwa zikivuja sana?
Kwa sababu kama walitumwa kuua, nao wakampeleka msitu wa Mabwepande, kisha wakakosea kuua baada ya kudhani amekufa na kisha tena wakakosea kumtupa mahali ambapo si rahisi kuonekana?? Kama si makusudi ni nini?
Mods kale kaombi kangu ka kuruhusu lugha chafu kwa dk 5 vipi bado mnakatafakari?