Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Safi sana fundisho hili na ajue kuchezea maisha ya binadamu wenzake ni mbaya sana pangekuwa patamu kama na yeye angekosa huduma huko Muhimbili ili aonje uchungu wa kususiwa na madaktari na aone manyanyaso wanayopata wagonjwa wasio na hatia patamu zaidi ni pale Israeli anaposogea karibu kutaka kuchukua roho.wananchi tunamsubiri huku atulipe kodi zetu tulizomsomeshea vinginevyo ni mmoja baada ya mwingine mpaka kodi zetu zirudi, kwani ni nini?.
 
Nikuulize mkirua, nchi zinapowekewa vikwazo vya kiuchumi, wananchi huwa wana kosa gani, ili hali wao ndio wahanga wakubwa wa vikwazo, na serikali yetu imeshiriki uamuzi wa kuwekea vikwazo serikali nyng tu!

TrueVoter (ingawa sina hakika kama ulipiga kura)....Hii aproach nayo ni mbaya kwasababu kwa nchi za kiafrica haifanyi kazi....unabisha?? ona zimbabwe... si kila kinachofanywa na wazungu kiko sawa...Kwao inawork kwasababu ukimuwekea vikwazo wananchi wake wakiandamana au wakimlalamikia immediately ana step down....Subutu ngozi nyeusi sasa...Ivi umesahau wakati fulani waliwahi kugoma madaktari muhimbili lakini mkuu wa nchi akaenda kulisakata dansi la ndombolo?? Hawa watu ni zaidi ya uwajuavyo na wala sioni kama wanajali (kwni wangeshaachia ngazi) na kama wanajali ni kwa maneno kwani athari za mgomo haziwagusi kamwe...

Kumbuka hata issue ya rada ilimngo'oa waziri wingereza (kwa kuamua kuwajibika kupinga dhuluma hiyo) lakini huku tunakenuliana meno tu na wahusika wapo na wanajulikana lakini wanapeta na wengine watagombea hata urais na tutawachagua....
Laiti viongozi wakuu wa serekali na familia zao wangekuwa wamegomewa kutibiwa na madaktari hao (Although hawatibiwi huko) then mgomo ungekuwa na maana kwani ungeachieve objective ...kuiadhibu serekali..
 
Aliyetoa amri ya kumuua Ulimboka ni Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupitia idara ya usalama wa taifa nyakati hizi ni nyakati za uelewa hatutadanganyika kamwe
utawala unaotumia damu za wananchi kuendelea kutawala sikuzote zimeanguka vibaya na kwa aibu mno
namuonea huruma kikwete kuingia kwenye udikteta wakati anawatoto ambao hawajafika hata miaka kumi atakimbia nao kwenda nchi gani maskini ambako hawatachorwa kuwa watoto wa dikteta

Acha jazba! kumuhusisha rais ni kosa la jinai utaumia. La msingi tumuombee mungu apone haraka ili asaidie polis ktk upelelezi wao
 
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
Story za vijiweni! WHERE IS THE EVIDENCE?
 
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.

Aliyempogia simu wakutane LEADERS CLUB si yuko hai? Kwanini kuendelea kutabiri wakati simu yake itaonyesha kila kitu?
 
Hizi theories za uwongo na kweli zitajaza jukwaa. Kila mtu anakuja na lake

Kuna Theory moja tu ambayo inafanya kazi kwa sasa nayo ni mpango huu ni wa serikali. Ili serikali ijisafishe inatakiwa iwaeleze watanzania ni kina nani wahusika na si tu kukamatwa bali kukamatwa na kutiwa hatiani katika ugaidi huu. Anything short of that is noise.
 
kuna tetesi zimeenea kwamba blandina nyoni amehusika na tukio hilo akiwa na dhamira yakulipiza kisasi kwa kuwa mgomo wa madaktari wa awamu ya kwanza ulisababisha kutimuliwa pale wizarani hivyo ameamua kutumia nafasi hii ili kumaliza machungu yake.
my take.
je wanajamvi hii inaweza kuwa na ukweli.
Ili tuweze kujiridhisha nani hasa anahusika na hili tukio kuna haja ya kutumia vyombo vya kimataifa kwenye kupata ukweli hata kwa gharama binafsi kama serikali haitaridhia..
 
Watanzania wangapi wanaokufa kwa huu mgomo haramu? hilo umefikiria? au huyo kibaraka mmoja ni bora kuliko maelfu kama si malaki ya Watanzania wanaokosa huduma?

Nna uhakika waliomfanyizia hawaitakii mema Tanzania na wamemtumia huyo kama chambo, na alivyokuwa na tamaa akadhani anakwenda kupewa mlungula kumbe anakwenda kuchezea kichapo na kufanyiwa makusudi akumbuke maneno wanaotaka aje kuyasema ili kuwavuruga Watanzania.

Nakubaliana na Pasco, ma professionals huwa hawafanyi hivyo, huwa wanakumaliza au wanakupoteza tu, hawakisii. Hawa waliofanya hivi wamefanya makusudi kabisa halafu wakawapigia simu hao wanaojiita human rights na wao amma wamemezeshwa mshipi, ndoano na chubwi au wanajuwa kinachoendelea.

Acheni kujidanganya nyinyi...maprofessional wa nini? Labda kuiba fedha za umma. Kwa sababu ya incompetence yenu kila mnachofanya kinaenda fyongo... na mtashuhudia mengi zaidi. Endeleeni kulundikana kwa kujuana hivyo hivyo.
 
serikali hii always employ wrong tactic, sasa wanadhan madaktari ni watoto wadogo wataogopa na kurudi kazini bila kinyongo kwa kigezo cha kuogopa? what a mistake! i think hii ni motivation kwa madaktari kuendelea na mgomo tena in a more intense way!

Ndio ukomo wa fikra zao ulipofikia...yaani hii njia waliyobuni is the best. Hawana tena njia mbadala ya kufanya trust me. System imejaa wajinga wajinga kibao. What do you expect...nakupa mfano mmoja. Pale airport wanatuhangaisha mara vua hiki mara wanakusachi mpaka kwenye maungo ya ndani hata bila ya zile machine kupiga kelele...and yet kuna mama aliingia na bastola kwenye ndege bila kufahamu maana bag alilopaki vitu vyake mumewe alificha bastola ndani. Bila yule mzee kumshitua yule mama ingekuwaje? Hao ndio UWT....
Wao kazi yao ni kuiba fedha za umma na kuua bila kuona hata haya.
 
Masaburi alisema kuna watu wanafikiri kwa kutumia ******. **** ya kuhusika blandina nyoni ni matokeo ya kufikiria kwa kutumia ******. Hata mpango wa kumdhuru Doc Ulimboka umefikiriwa kwa ****** ndio maana ameweza kuelezea ukweli wa kilichomsibu ili kuweka kumbukumbu sawa. Leteni uongo mwingine mtakoutunga kwa kufikiria ubongo sio ****** kama alivyopata kusema Masaburi...****
 
JAMAA AMEKUWA KAMA DEMU ALIYEPAKA WANJA VILE ! ILA HAWA JAMAA WAMEMPIGA KIDOGO KWELI SIJUI KWA NINI ?

gvsCeKJk20SKAAAAABJRU5ErkJggg==

Ili tuweze kujiridhisha nani hasa anahusika na hili tukio kuna haja ya kutumia vyombo vya kimataifa kwenye kupata ukweli hata kwa gharama binafsi kama serikali haitaridhia..
Hii itakuwa bado ngumu kuupata ukweli ila yote sawa cha msingi hawakumuua tu
 
Aliyetoa amri ya kumuua Ulimboka ni Amiri jeshi mkuu Dr Jakaya Mrisho Kikwete kupitia idara ya usalama wa taifa nyakati hizi ni nyakati za uelewa hatutadanganyika kamwe
utawala unaotumia damu za wananchi kuendelea kutawala sikuzote zimeanguka vibaya na kwa aibu mno
namuonea huruma kikwete kuingia kwenye udikteta wakati anawatoto ambao hawajafika hata miaka kumi atakimbia nao kwenda nchi gani maskini ambako hawatachorwa kuwa watoto wa dikteta

Hayo unayoongea ukisimamishwa mbele ya mahakama unaweza kuyathibitisha?
 
watu hawataki kufikiri nahamini kama serikali ilifanya hv ingempoteza kufuta ushahd lakin iweje haachwe hai!ebu tujarib kufikiri.swali kunawatu walipambana kumuokowa au hamekutwa katupwa 2!

Na pia tujiulize kama kweli wanausalama wote ni pro-Serikali kweli. Maana mbona siri za serikali zimekuwa zikivuja sana?
 
Na pia tujiulize kama kweli wanausalama wote ni pro-Serikali kweli. Maana mbona siri za serikali zimekuwa zikivuja sana?

Kwa sababu kama walitumwa kuua, nao wakampeleka msitu wa Mabwepande, kisha wakakosea kuua baada ya kudhani amekufa na kisha tena wakakosea kumtupa mahali ambapo si rahisi kuonekana?? Kama si makusudi ni nini?
 
Katika pitapita zangu, nimedokezwa kuwa mfululizo huu wa migomo na maandamano ni kufanikisha mpango wa ki haini wa kutaka kuiangusha serikali iliyoko madarakani. Tulianza kushuhudia maandamano na kuambiwa kama nchi haitatawalika, nadhani ilitakiwa iwe kama yale ya arab spring. Lakini Mungu bariki mbinu hii ikabuma.

Ikaja mgomo wa wafanyakazi, nao ukabuma. Ukaja mgomo wa madaktari kupitia interns...huu ulisumbua kiasi mpaka ukang'oa vigogo kule wizarani lakini ukapita. Sasa mgomo huu mwingine kwa kisingizio kile kile cha hali bora za madaktari. Cha kushangaza wanaoshabikia zaidi migomo yote hii ni wale walioanzisha maandamano.

Nashawishika kuamini jamaa yangu aliyenin'gata sikio kuwa mpango huu unalenga kutaka kuifanya nchi isitawalike, nimedokezwa kuwa waalimu nao wameshawishiwa kugoma.

Sasa kama nadharia hii ni kweli, basi masikini dr. Uli jamaa zako wenyewe ndio wamekutia jiti. Na jamii iaminishwe kama ni jeshi la polisi and so serilkali ili umma woote uanze kuichukia serikali na kuiangusha. Dr. Uli adui yuko chumbani kwako, usimtafute mchawi.

I was just thinking very loud, sitaki nkuamini hata kidogo kam serikali kupitia jeshi la polisi could be dare to do this.

Kuna silku ukweli utadhihiri.

K.
 
Kwa sababu kama walitumwa kuua, nao wakampeleka msitu wa Mabwepande, kisha wakakosea kuua baada ya kudhani amekufa na kisha tena wakakosea kumtupa mahali ambapo si rahisi kuonekana?? Kama si makusudi ni nini?

Nadhani walimuonea huruma japo 'waliagizwa' wamuue...na wakamtupa mahali watu wanaweza kumuona ili apate msaada.Vinginevyo ni Mungu mtenda miujiza amemuokoa Uli...
 
Back
Top Bottom