HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Safi sana fundisho hili na ajue kuchezea maisha ya binadamu wenzake ni mbaya sana pangekuwa patamu kama na yeye angekosa huduma huko Muhimbili ili aonje uchungu wa kususiwa na madaktari na aone manyanyaso wanayopata wagonjwa wasio na hatia patamu zaidi ni pale Israeli anaposogea karibu kutaka kuchukua roho.wananchi tunamsubiri huku atulipe kodi zetu tulizomsomeshea vinginevyo ni mmoja baada ya mwingine mpaka kodi zetu zirudi, kwani ni nini?.