Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Ni vigumu kuamini kuwa haya yanatokea Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani wote tuanze kazi mara moja ya kung'oa hayo magugu! Lakini kuna watu waoga wa kutupwa, hata akila andazi moja kwa siku yeye atasema CCM hoyeeeee!! Its bull shit, watu wanapoteza maisha kwa sababu za kipuuzi kabisa, waafrica kwa nini hatujithamini lakini?Serikali inapochoka kushughulikia matatizo ya wananchi wake na ikatukuza ufisadi, humuoana kila mwananchi/raia mpenda haki na ukweli kuwa ni adui mkubwa, hasa anapojitokeza kudai haki na kueleza ukweli. Madai ya madaktari ni mapana na yanagusa ustawi wa jamii. kwa mfano wanaposema vitendea kazi havipo, je ni kosa? mbona wao matumbo yakiunguruma tu, tunawasikia INdia. Hoja kwamba serikali haina pesa ni uongo wa mchana kweupe. Tujiulize serikali isiyo na pesa inakuaje na mabilioni ya pesa benki za nje kama uswisi n.k, serikali isiyo na pesa inakuaje ripoti ya CAG ionyeshe mabilioni ya pesa yakiwa yamepotea/yameliwa na taasisi moja tu/mtu mmoja,serikali isiyo na pesa inakuaje viongozi wake kila kukicha kiguru na njia kwenda ng`ambo kwa kisingizio cha kuona utendaji kazi wa balozi zetu,ooh mara kutafuta wafadhili wa bajeti, mara kutafuta wawekezaji, mara marafiki(sijui wa kike au kiume), mara kutangaza utalii. hiyo ni serikali ambayo viongozi wake wamechoka kufikiri, na viongozi wanaofikiri wapo uraiani na hao ndio wapambanaji wakweli. sas kazi ni moja tu, nayo ni kung`oa magugu yote ya CCM
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa
Safi sana serikali ya chama cha mapinduzi!!!!
kamata na wana harakati wa cdm wanao sababisha mshindwe kutawala!
Kamata na wamiliki wa JF;Funga midomo waandishi wa habari makini!!!!
hapo ndipo mwisho wenu utakuja na kuwaweka kwenye kumbukumbu za kihistoria!!!
poor you!!!
Serikali ina haki ya kukumata na kukuhoji wakati wowote ule.
Kama kavunja sheria za nchi au kakaidi amri za mahakama hawachiwi mpaka sheria za kumuachia zikamilike, hata kiongozi wa upinzani bungeni alipokaidi amri ya mahakama alikamatwa kwa nguvu akapelekwa mahakamani.
Msituvunjie sheria za nchi halafu mfunguwe midomo yenu.
alikuwa amefungwa kamba miguu na mikono... it is sad; sijui kama atasurvive maana alishindwa kuzungumza kabisa