fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Aibu tumepata watz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutokana na kwamba mgomo wenyewe ni wakusua sua, silikali inadhani ni wachache wakina ulimboka ndio wanashinikiza, ile kamati ya madaktari wangetumia kwanza vyombo vya habari ili kuonyesha wananchi jinsi gani selikali haijashughulikia kuimarisha huduma hospitalini
Ni kweli Dr. Olimboka katekwa na askari polisi na kapigwa na kwa sasa yupo kituo cha polisi cha uchochoroni tunakifuatilia kujua kama ndipo walipo mficha. Sasa hii imetuamsha hasira na mgomo kamili ndo utafuata.
Mahakama imesema mgomo usitishwe na viongozi wa mgomo watangaze kwenye vyombo vya habari watangaze kuwa hakuna mgomo mpaka jambo hili litapomalizwa kusikilizwa na mahakama.Sasa naanza kuona upofu wa viongozi wetu! Huwezi kuwatisha watu wasomi wenye kujua haki zao kwa kuanza kukamata watu na kuwaweka ndani! Uongozi wa kimabavu siku zote huishia pabaya! Kwani wanaona ugumu gani kukubaliana na matakwa ya Watanzania! A better working conditions! Batter facilities! Naambiwa tangu mgomo wa madaktari ulipoanza serikali ilitumia nguvu ya zaidi ya 8bl...
MOI wamegoma atapata huduma kweli?
Ni kweli Dr. Olimboka katekwa na askari polisi na kapigwa na kwa sasa yupo kituo cha polisi cha uchochoroni tunakifuatilia kujua kama ndipo walipo mficha. Sasa hii imetuamsha hasira na mgomo kamili ndo utafuata.
, ila liwalo na liwe.
Nasikia wale Madaktari bingwa hawajagoma labda ndio watamtibu.
Huku tunako elekea nchi itanuka muda wowote huu uonevu wa hali ya juu.
habari hazieleweki kabisa...kama ni polisi nadhan wamemkamata,hawajamteka,,,,,ila sasa ulimboka kama wamemkamata na wale mafisad nao wawabebe