Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uonevu kuvunja amri ya mahakama?
Nani alishinda?
ITV wamethibitisha...
ITV‏@ITVTANZANIA
mwenyekiti wa jumuiya ya madakatari Dr. Stephen Ulimboka ametekwa na kupigwa na watu wasiojulikana na anapelekwa moi
Ametekwa au amekamatwa na Polisi.
hii umeipata wapi ya watalawa kuhusika?Inasikitisha kwa Kweli yaani watawala wamechoka hadi wanajibu hoja kwa kutumia nguvu? tuwaondoe kwa namna yoyote ile.
kina nani si uwataje basi..Wanajulikana bana.....
Wanajulikana bana.....
Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid'.
kina nani si uwataje basi..
Mkuu, afadhali tumefahamu alipo, maana watanzania tulianza kuwa na wasiwasi juu ya mtetezi wa ma-DR,
tunawaomba wanaharakati please fuatilieni hilo na kulaani, ukatili dhidi ya jeshi la police na kama wamemdhuru, Solidarity forever
Watanzania lakini wakadhulumiwa na NEC kwa kumtangaza dhaifu kuwa mshindi na kwa kuwa haturuhusiwi kupiga ikabidi tuwe wadogo kama piritoni hata kama angekuwa mbwa ndiyo katangazwa kuwa mshindi..