Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
Kinachotakiwa ni kutafuta suluhisho la Tatizo na siyo kutumia vitisho ili wengine waogope.
Sasa subirini moto utakaowashwa na Madakitari kutokana na tukio hili, msifikiri wote ni Limbukeni au wameokotwa tu.
Vitisho vyenu havisaidii zaidi ya kuleta maafa kwa Wananchi wasio na hatia, hao Usalama wa Taifa na Viongozi wakiugua wanapelekwa India, Je, wewe si tutakutana katika Corridors za Hospitali zetu hapa tu.
Labda kama na wewe upo kwenyue system ya wanaopelekwa India.
MIZAMBWA
INANIUMA SNA!!!
Mbona na wewe unatutisha .... sisi tukiumwa tutakuja muhimbili...mkigoma kutuhudumia tunateka mwengine ....tuna msulubisha...halafu tunaenda kutupa Mabwepande.....Hali itaendelea hivi mpaka muishe wote...kisha tunahamia katika tiba za jadi