Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusitishane kabisaaaaaaa.Haki yetu inapatikana kwa shida sana Watanzania hiyo ni mbinu ya ccm kwani wanawatisha wananchi sasa .Tukubali kufa sasa hivi kwa ajili ya Watanzania na vizazi vijavyo.Watanzania tujipange vizuri kwani hawa jamaa wameona wamekwisha.Sasa harudi mtu nyuma.Na msimruhusu kiongozi yeyote wa serikali kwenda kumwangaliaDr Ulimboka huko hospital.Wasijifanye wema.wanajua kila kitu.Watanzania Tuunde tume [private] kuwafuatilia hao waliohusika.Tusikubali upelelezi wa polisi,kwani ndio hao hao tu.Canan tutafika tu.KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA WATANZANIA,TUKATOE MAONI.
Halafu majambazi wanamtuma mtu kuja hospitali ya MOI kuhakikisha kama kafa au hajafa?Hata Majambazi si wanavamia na kuteka watu wakiwa na bunduki au? Sio kila anayekuwa na bunduki ni askari wa serikali
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.
Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).
UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!
Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.
![]()
![]()
![]()
![]()
PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!
Huu sasa ni udikteta.
Kikwete na watoto wake watayalipa haya before 2015 chezea damu ya wananchi kwa sababu ya usalama wa KIkwete na Pinda badala ya Usalama wa Taifa mambumbu wezi wakubwa wa mali za taifa
Kugoma ni akili za kipumbavu?Kama wana Akili zaUpumbavu wa Kugoma basi wana akili za kufanya Upumbavu mwingine wowote. Tusubiri yatakayojiri.
Ina maana kwa akili yako watekaji hawawezi kumvua mtu nguo na kumfanyia matendo mengine ya kinyama baada ya kumteka? Shughulisha ubongo wako. Madaktari ni wasomi hawawezi kufanya upuuzi huu!!!Mmh1 Nimeshtuka, hebu angalia picha hizo kwa umakini tena. Jiulize Dr.Ulimboka alikua na kijipensi cha jeans akati anaenda for Reconciliation?.
Taarifa zina ualakini tena sana........
I feel very bad.someone needs to pay for this inhumanity.someone who brought us here...he should.
Madaktari wamwache mwenzao? Labda kada nyingine si wao!!! Kwa taarifa tu ni kuwa atatibiwa vizuri kuliko hata JK na BURE KABISA Hapo MOI!!!jiulize ni wagonjwa wangapi wamekufa kwa mgomo unaoongozwa na huyu kinara,je waliokufa wamekosa nini?je yeye anathamani gani kubwa zaidi ya hawa waliopoteza maisha kwa kukosa huduma,kwanini asiachwe bila huduma kama alivyowaacha wagonjwa ili aone jinsi watanzania walalahoi wanavyoteseka?
Moderators kwa nini leo msingeruhusu watu kama hawa wakatukwana? Watu tuna hasira za mzalendo kutaka kuuawa bila hatia wao wanaleta upuuziacha unafki,dr ulimboka atakosekanaje kwenye unyama wa mauaji ya wagonjwa wanaoendelea kufa hadi hivi sasa kwakikosa huduma,
-Ulimboka anatakiwa ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mateso na vfo vya watanzania wenzetu lakini
-aliyempiga anatakiwa ashtakiwe kwakujichukulia sheria mikononi.
hatutaki ushabiki sheria ichukue mkondo wake kwa wote.
hili jambo ni uvunjifu wa haki za binadamu wala halikubaliki katika jamii serekari imeona maji yako shingoni ikaamua kutuma majasusi naamini hivyo kwani hakuna mtu naye weza kufanya hivyo zaidi ya serekari iliyoko madarakani hawa watu wakamatwe, polisi walifika mida ya saa sita mchana mhimbili walikuwa wanatafuta nini wakati tuka usiku walikuwa wapi kufuatilia. Mgomo wa kumtibu doctor mwenzao haupo kwani tutahakikisha anapona kwa msaada wa mwenyezi mungu .
acha unafki,dr ulimboka atakosekanaje kwenye unyama wa mauaji ya wagonjwa wanaoendelea kufa hadi hivi sasa kwakikosa huduma,
-Ulimboka anatakiwa ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mateso na vfo vya watanzania wenzetu lakini
-aliyempiga anatakiwa ashtakiwe kwakujichukulia sheria mikononi.
hatutaki ushabiki sheria ichukue mkondo wake kwa wote.