Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Tusitishane kabisaaaaaaa.Haki yetu inapatikana kwa shida sana Watanzania hiyo ni mbinu ya ccm kwani wanawatisha wananchi sasa .Tukubali kufa sasa hivi kwa ajili ya Watanzania na vizazi vijavyo.Watanzania tujipange vizuri kwani hawa jamaa wameona wamekwisha.Sasa harudi mtu nyuma.Na msimruhusu kiongozi yeyote wa serikali kwenda kumwangaliaDr Ulimboka huko hospital.Wasijifanye wema.wanajua kila kitu.Watanzania Tuunde tume [private] kuwafuatilia hao waliohusika.Tusikubali upelelezi wa polisi,kwani ndio hao hao tu.Canan tutafika tu.KATIBA MPYA NI MUHIMU SANA WATANZANIA,TUKATOE MAONI.

Kwa kuwa hatuna imani na sirikali hii, kwa sasa tunachangishana kumtafuta lawyer wa kimataifa na wachunguzi wa kimataifa watusaidie kwa hili, hata kama itatilazimu kuuza nyanya kutoka mashambani mwetu tutafanya hivi, mmegusa pabaya safari hii.
 
Hata Majambazi si wanavamia na kuteka watu wakiwa na bunduki au? Sio kila anayekuwa na bunduki ni askari wa serikali
Halafu majambazi wanamtuma mtu kuja hospitali ya MOI kuhakikisha kama kafa au hajafa?
Quote" bado yuko hai" akiwa chooni, serikali au majambazi?
 
Sasa uchokozi umefikia pabaya na hii sasa ni vita!!

Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa jemedari Dr. Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na silaha za moto na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la 'Abeid' ambaye tangu mwanzo amekuwa akiwasiliana naye na kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to face kwa ajili ya reconciliation.

Taarifa zimekwisha fikishwa polisi na sehemu zingine kwa ajili ya ufuatiliaji. (source chanzo cha kuaminika).

UPDATE:
Inaelekea waliomteka si watu wema kabisa, Dr. Ulimboka kaokotwa sehemu akiwa katika hali mbaya sana!



Tutaendelea kutoa updates kadiri muda unavyoruhusu.

attachment.php
attachment.php
attachment.php


attachment.php

PICHANI: Dkt. Ulimboka akiwa katika hali mbaya mara baada ya kuokotwa akiwa hajitambui.
Ulimboka alitekwa jana usiku mida ya saa 6 usiku baada ya kupigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Abeid na alitekwa na watu wawili waliokuwa na silaha. Kufuatia hali hii wafanyakazi wa chumba cha maiti Muhimbili nao wamegoma na mgomo huenda ukawa mkubwa zaidi!


Doesn't make any sense to me! Unaitwa usiku wa manane unaenda peke yako? Kama Serikali wamefanya hivi basi hata mwili wake msingeuona, ingekuwa ndo mwisho wake! Hizi propaganda tu.
 
Kikwete na watoto wake watayalipa haya before 2015 chezea damu ya wananchi kwa sababu ya usalama wa KIkwete na Pinda badala ya Usalama wa Taifa mambumbu wezi wakubwa wa mali za taifa

jiulize ni wagonjwa wangapi wamekufa kwa mgomo unaoongozwa na huyu kinara,je waliokufa wamekosa nini?je yeye anathamani gani kubwa zaidi ya hawa waliopoteza maisha kwa kukosa huduma,kwanini asiachwe bila huduma kama alivyowaacha wagonjwa ili aone jinsi watanzania walalahoi wanavyoteseka?
 
Kama wana Akili zaUpumbavu wa Kugoma basi wana akili za kufanya Upumbavu mwingine wowote. Tusubiri yatakayojiri.
Kugoma ni akili za kipumbavu?
Nadhani mwenye akili za upumba%u ni wewe kwani umeridhika na UDHAIFU wa Serikali yako!!
 
Ningependa tujarib kufikiria kidogo,hiv wafanyakazi wako hawataki kufanya kazi labda kwa sababu yoyote ile,hv unaweza kweli kutumia nguvu mmh ni jambo lisilowezekani,ila yule aliyekuwa adui yako anawezakutumia nguvu kwa wafanyakazi wako ili wewe huaribikiwe.
 
Mmh1 Nimeshtuka, hebu angalia picha hizo kwa umakini tena. Jiulize Dr.Ulimboka alikua na kijipensi cha jeans akati anaenda for Reconciliation?.

Taarifa zina ualakini tena sana........
Ina maana kwa akili yako watekaji hawawezi kumvua mtu nguo na kumfanyia matendo mengine ya kinyama baada ya kumteka? Shughulisha ubongo wako. Madaktari ni wasomi hawawezi kufanya upuuzi huu!!!
Wadhaifu ndo wanaweza fanya hivyo!!!
 
I feel very bad.someone needs to pay for this inhumanity.someone who brought us here...he should.

acha unafki,dr ulimboka atakosekanaje kwenye unyama wa mauaji ya wagonjwa wanaoendelea kufa hadi hivi sasa kwakikosa huduma,
-Ulimboka anatakiwa ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mateso na vfo vya watanzania wenzetu lakini
-aliyempiga anatakiwa ashtakiwe kwakujichukulia sheria mikononi.
hatutaki ushabiki sheria ichukue mkondo wake kwa wote.
 
jiulize ni wagonjwa wangapi wamekufa kwa mgomo unaoongozwa na huyu kinara,je waliokufa wamekosa nini?je yeye anathamani gani kubwa zaidi ya hawa waliopoteza maisha kwa kukosa huduma,kwanini asiachwe bila huduma kama alivyowaacha wagonjwa ili aone jinsi watanzania walalahoi wanavyoteseka?
Madaktari wamwache mwenzao? Labda kada nyingine si wao!!! Kwa taarifa tu ni kuwa atatibiwa vizuri kuliko hata JK na BURE KABISA Hapo MOI!!!
 
Inawezekana walimlazimisha kutoa tamko la kusimamisha mgomo nae akagoma ndio sababu ya kipigo hicho. Ni mtazamo wangu tu
 
Ndugu wanaJF nadhani hawa jamaa wameanza hujuma kwa media maana nilikua nasikiliza clouds fm huku ughaibuni tangu kipindi cha Jahazi kinaanza. Walipotaka tu kuongelea plight ya Mzalendo Dr Ulimboka, wakakata matangazo ya online...Yaani ni ful zengwe :frown:
 
acha unafki,dr ulimboka atakosekanaje kwenye unyama wa mauaji ya wagonjwa wanaoendelea kufa hadi hivi sasa kwakikosa huduma,
-Ulimboka anatakiwa ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mateso na vfo vya watanzania wenzetu lakini
-aliyempiga anatakiwa ashtakiwe kwakujichukulia sheria mikononi.
hatutaki ushabiki sheria ichukue mkondo wake kwa wote.
Moderators kwa nini leo msingeruhusu watu kama hawa wakatukwana? Watu tuna hasira za mzalendo kutaka kuuawa bila hatia wao wanaleta upuuzi
 
hili jambo ni uvunjifu wa haki za binadamu wala halikubaliki katika jamii serekari imeona maji yako shingoni ikaamua kutuma majasusi naamini hivyo kwani hakuna mtu naye weza kufanya hivyo zaidi ya serekari iliyoko madarakani hawa watu wakamatwe, polisi walifika mida ya saa sita mchana mhimbili walikuwa wanatafuta nini wakati tuka usiku walikuwa wapi kufuatilia. Mgomo wa kumtibu doctor mwenzao haupo kwani tutahakikisha anapona kwa msaada wa mwenyezi mungu .

hivi ushabiki utakupeleka wapi?
ni watanzania wangapi wamekufa na wanaendelea kufa kwa unyama wa madaktari,kama kosa ni la serikali kwanini madaktari wawauwe kwakutowapitua huduma,
je hii ni haki ya binadamu?
au kupigwa ulimboka ndio uvunjif wa haki za binadam.
Ulimboka sasa anaona umihimu wa tiba na nafikiri anajiuliza"je nini mustakabali wa maisha yangu kama na mimi wangeniacha bila tiba?".
serikali isisiye kumfikisha mahakamani dr Ulimboka kwa kusababisha mateso na vifo kwa wagonjwa lakini pia imsake aliempiga dr ulimboka na ashtakiwe kwakujichukulia sheria mkononi.
 
acha unafki,dr ulimboka atakosekanaje kwenye unyama wa mauaji ya wagonjwa wanaoendelea kufa hadi hivi sasa kwakikosa huduma,
-Ulimboka anatakiwa ashtakiwe kwa kosa la kusababisha mateso na vfo vya watanzania wenzetu lakini
-aliyempiga anatakiwa ashtakiwe kwakujichukulia sheria mikononi.
hatutaki ushabiki sheria ichukue mkondo wake kwa wote.

Bambo clots!! What the fu2k are talking about can you smell the shit coming out of your mouth?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
watu dizaini ya ulimboka ni mzigo kwenye taifa hili wanaweka maslahi binafsi mbele kweli malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom