Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agreed with you, pia wasingefanya operation ya kipumbavu hivyo! Tutajua ukweli, Get well soon Dr. UlimbokaSitaki kuamini kama Serikali inaweza ikawa imecheza mchezo huu. Nijuavyo kama Serikali ingetaka kumuua Ulimboka ingemuua kwa njia ambazo hakuna kati yetu ambaye angeweza kuifikiria kuwa Serikali imemuua Ulimboka. Hao watakuwa ni miongoni mwa wenyewe kwa wenyewe. Maana tayari inasemeka kuna makundi kati yao
Yafuatayo yanawezekana kwa harakaharaka;
- Yaliyomkuta Ulimboka ni kama yale ya Igunga; ilipata kusdikika kuwa mauaji ya Igunga yalisababishwa na CCM pinzani ndani ya CCM tawala, hivyo bado kuna nafasi ya kuwa huenda yamesababishwa na serikali pinzani ndani ya serikali tawala, ili kuiweka serikali tawala in a hard situation mbele ya jamii...!
- Yaliyomkuta Ulimboka huenda yamesababishwa yamesababishwa na serikali baada ya kumuona kama threat katika utawala wao...! Lakini kama ndio hivi, basi binafsi nazidi kudhibitisha jinsi walivyodhaifu katika mikakati, maana hatua ya kumteka mtu na kumuachia akiwa hai, huku wamekwisha muumiza kiasi hiki ni uzembe wa kutupwa...!
- Huenda yaliyomkuta Ulimboka ni kama ya watu wengine wengi waliiopata kutekwa na kupigwa na hata kuuawa...! Hii ni kwa sababu naye ni binadamu, na anaweza akawa na vishawishi vya kuweza kumfanya afanyiwe hivyo...!
- nk
kuna kiongozi mmja alikuwa anaitwa dr kombe kama sikosei naimbieni nimelisahau jina .serikali ilimfuatilia toka DSM NAKWENDA KUMUULIA MOSHI MJINI TOKA dsm mkewe akakimbilia kwenye mahindi .nikumbusheni
sasa hapa nani kafanya vizuri? ndani ya umaskini wote huu na ufisadi unaoulalamikia kila siku kuna mtu anafanya vizuri? ni nani huyo?Hizo ni chuki binafsi, mimi hazinistui kwa sababu najuwa chuki zenu ni kuwa tu pale wetu anapoweza kufanya vizuri kuliko wenu, huwa hampendi na mnaona vipi huyu katuzidi? hiyo ni roho ya kichawi.
Well-said mkuu. Hatutaki ubabaishaji hapa!Mkuu unaushahidi wa serikali kuhusika kwenye hii ishu?Ni jukwaa la Great thinkers hili habari za porojo za vijiweni hazina nafasi hapa.Kama una ushahidi tuwekee hapa then tuendelee kuchangia.Otherwise piga kimya tusubirie taarifa zaidi kutoka vyanzo mbalimbali vya uhakika.
Pinda kesho aongee kitu cha kueleweka n sio pumba
hakuna kitu kama hicho.Vipi kama mwisho wa siku tunaambiwa "waliuofanya hilo tukio walikuwa watu wenye hasira ambao wazazi au watoto wao wamekufa kwa sababu ya huu mgomo" walifanya hivyo kulipa kisasi....
Huyo hana maana kabisa serikali imemsomesha ili asaidie jamii yeye kaweka maslahi yake binafsi kwanza kuua watanzania waliomsomesha kwa kodi zao ni kosa kubwa sana,fanya kazi kwa bidii upate fedha, siyo kushawishi na wenzako wagome Hehehee! ili tufe? tena kwa maslahi binafsi!
Haiwezekani anataka utajiri bila kufanyia kazi,mtu mbaya kabisa aliyejitokeza TZ karne hii ya 21 ni huyu,serkali ilishakubali kuwa yanazungumzika kuwa na subira wakati yakitekelezwa siyo kulazimisha tena kwa kusababisha vifo vya wagonjwa huu siyo udaktari ni uhujumu tena mbaya kuliko ukimwi,ingelikuwa China leo hii asingekuwepo duniani,nashauri hivyo mbona kina Kombe,Mahiza e.t.c hawapo na nchi inaendelea.
Vipi kama mwisho wa siku tunaambiwa "waliuofanya hilo tukio walikuwa watu wenye hasira ambao wazazi au watoto wao wamekufa kwa sababu ya huu mgomo" walifanya hivyo kulipa kisasi....