Mimi nilichosema nasikitika kwa kutandikwa huyu Daktari. Lakini nilisikitika zaidi kwa mgomo wa Madaktari na kukaidiwa Mahakama. KAMA KUPIGWA ASHAPIGWA, hakuna kushabikia binadamu mwenzako akikutwa na mabaya.
Ila pia, tusishabikie kuvunjwa kwa amri halali ya mahakama na uamuzi wa kuwaacha watanzania wanyonge bila ya huduma; kisa kutunishia misuli Serikali. Hao wanaogoma kumkomoa JK na Pinda; wanafikiri JK au Pinda wakiugua huenda Muhimbili???
TUSISHABIKIE UPUUZI.
Kuna jamaa anauliza wakimpiga ndio mwisho wa Tatizo?
Na mimi nauliza; Kugoma ndio mwisho wa Tatizo?
Tuwe makini katika sentiments
MAHAKAMA NI ZETU
TUZIHESHIMU.
Nashangaa; Mahakama ikimvua Ubunge Lema; inatukanwa, ikisema MNYIKA aendelee na UBUNGE inasifiwa. Ikisema Mgomo wa Madaktari Sio halali inapingwa, ikimtoa Mbunge wa CCM Sumbawanga kule, inaonekana imefanya kazi sawa.
Nani wanaoenda kwe Biasness?????
THINK TWICE