Hahahaha, kwamba Tanzania nchi ya Africa ambako wamarekani hawategemei kuwa ni mfano katika demokrasia lakini kuna nchi ambayo imeizidi USA ambaye ni baba wa demokrasia hapa duniani katika kufanya uchaguzi bora kabisa kwa kuruhusu waangalizi
Hiyo ni kejeli?Hivi ni kweli kuwa una upumbavu kiasi hiki cha kutojua kejeli?
Mkuu hii haitabadirisha tafsiri ya huyo mzungu kila mtu amesikia kwamba nchi zote zilizostaarabika hata tanzania zimeruhusu waangalizi.Nawasiwasi na akili yako???
Alichomaanisha sio icho unachokisema humu.
Kwa taarifa yako hapo ni kama tumedharauliwa sana kwamba hata kwetu ambalo sio civilized inaruhusu wasimamizi wa uchaguzi?????
Yaani maana yake ni kwamba tuhuma mbaya za kuharibu uchaguzi wetu zimeshafika huko na wanajua kila kitu.
Tofautisha kuhusu kujua Kiingereza na kujua Matumizi ya maneno ya kiingereza !!!
Kweli Lumumba mmejaa vilaza [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Mmoja wapo ni lord dening, hana hamu na hii habarihii habari ni mwiba kwa walevi wa propaganda hivo msiwashangae wanavyopuvuka hapa
Mtu kaoneshwa na vyombo vyote vya kimataifa unamuita tapeli?Huyu tapeli mpiga debe wa Trump ndio unamwita kiongozi wa Marekani? Tuambie ana madaraka gani katika serikali ya Marekani.
Kwa jinsi huyu jamaa anavyodharauliwa Marekani, kumtumia kwamba amesifia Tanzania ni sawa na kuwa na akili mbaya kuliko hata mwendawazimu
Hako ni katakataka kama kale ka kigogo tena kamejaa watu kutoka hapo Kenya.Hii ni moja ya ripoti ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia uchaguzi Tanzania.Ina ushahidi unaoonyesha kuwa Polisi walitumika kuvuruga uchaguzi Tanzania kwa hiyo hawawezi kuwa na haki wala wajibu wa kusimamia upatikanaji wa haki katika kesi za uchafuzi wa uchaguzi Tanzania.
Tanzania Elections Watch – 2020 General Elections Observation and Monitoring
tanzaniaelectionswatch.org
View attachment 1631203View attachment 1631204
Angalia walioisain ni wajinga kutoka Kenya.Nikushukuru kuongea kisayansi.
Lkn ngoja niendelee kuifanyia kazi hiyo taarifa.
Angalia walioisain ni wajinga kutoka Kenya.
Angalia walioisain ni wajinga kutoka Kenya.
Ushawasikia wangapi? Wapi? Hizo akili za Polepole zitawapeleka markitiMkuu Tanzania ni nchi ya karibu sana kwenye akili nyingi za wamarekani, nimeshawasikia wamarekani wengi waki mention Tanzania pale wanapomention African countries au foreign countries
Kuna mambo matatu hapa, aidha hujui kiingereza au huangalii habari za kimataifa, au yote mawili ni sahihi.Mtu kaoneshwa na vyombo vyote vya kimataifa unamuita tapeli?
Its always gud to be an example.. Whether a good or a bad example; its always gud!Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.
Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
We jamaa ni nanga sana. Chukulia wewe ni kipanga darasani na CCM ni kilaza darasani. Kwenye hesabu ya kujumlisha ukaikosa ila CCM akaipata. Ticha kwenye masahihisho anakuambia wewe kibori nangari iweje CCM aipate wewe uikose? Huoni hapo kuna dharau kwa CCM kuwa kukosea ni kawaida yake? Kama hujaelewa tena huu mfano kojoa ukalale!!Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
Acha ujinga,Kuna mambo matatu hapa, aidha hujui kiingereza au huangalii habari za kimataifa, au yote mawili ni sahihi.
Acha kupotosha.We jamaa ni nanga sana. Chukulia wewe ni kipanga darasani na CCM ni kilaza darasani. Kwenye hesabu ya kujumlisha ukaikosa ila CCM akaipata. Ticha kwenye masahihisho anakuambia wewe kibori nangari iweje CCM aipate wewe uikose? Huoni hapo kuna dharau kwa CCM kuwa kukosea ni kawaida yake? Kama hujaelewa tena huu mfano kojoa ukalale!!
Kama unaamini Tz kuna demokrasia hebu tueleze pesa ya kovidi ilitumikaje?