Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Waangalizi wengi si waliponda uganganyifu mkubwa ktk uo uchaguzi??
Hahahaha, kwamba Tanzania nchi ya Africa ambako wamarekani hawategemei kuwa ni mfano katika demokrasia lakini kuna nchi ambayo imeizidi USA ambaye ni baba wa demokrasia hapa duniani katika kufanya uchaguzi bora kabisa kwa kuruhusu waangalizi
 
Nawasiwasi na akili yako???

Alichomaanisha sio icho unachokisema humu.

Kwa taarifa yako hapo ni kama tumedharauliwa sana kwamba hata kwetu ambalo sio civilized inaruhusu wasimamizi wa uchaguzi?????

Yaani maana yake ni kwamba tuhuma mbaya za kuharibu uchaguzi wetu zimeshafika huko na wanajua kila kitu.

Tofautisha kuhusu kujua Kiingereza na kujua Matumizi ya maneno ya kiingereza !!!

Kweli Lumumba mmejaa vilaza [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu hii haitabadirisha tafsiri ya huyo mzungu kila mtu amesikia kwamba nchi zote zilizostaarabika hata tanzania zimeruhusu waangalizi.

Sasa kajeli iko wapi hapo?

Najua inakuuma sana mkuu Lisu ndio huyo kapata 13% na kawakimbia
 
Huyu tapeli mpiga debe wa Trump ndio unamwita kiongozi wa Marekani? Tuambie ana madaraka gani katika serikali ya Marekani.

Kwa jinsi huyu jamaa anavyodharauliwa Marekani, kumtumia kwamba amesifia Tanzania ni sawa na kuwa na akili mbaya kuliko hata mwendawazimu
Mtu kaoneshwa na vyombo vyote vya kimataifa unamuita tapeli?
 
Hii ni moja ya ripoti ya waangalizi wa uchaguzi waliokuja kuangalia uchaguzi Tanzania.Ina ushahidi unaoonyesha kuwa Polisi walitumika kuvuruga uchaguzi Tanzania kwa hiyo hawawezi kuwa na haki wala wajibu wa kusimamia upatikanaji wa haki katika kesi za uchafuzi wa uchaguzi Tanzania.


View attachment 1631203View attachment 1631204
Hako ni katakataka kama kale ka kigogo tena kamejaa watu kutoka hapo Kenya.
 
Hii ingizwe kwenye majabu ya dunia
 

Attachments

  • 20201120_182801.png
    20201120_182801.png
    138.2 KB · Views: 1
"Kila jimbo, karibu kila nchi yenye demokrasia ikiwemo Tanzania, na maeneo ambayo hata huwezi kuyafikiria, wana sheria za uangalizi hasa kwa kura zinazopigwa kwa njia ya posta," Rudy Guliani amewaambia wanahabari Alhamisi.
BBC
 
Mkuu Tanzania ni nchi ya karibu sana kwenye akili nyingi za wamarekani, nimeshawasikia wamarekani wengi waki mention Tanzania pale wanapomention African countries au foreign countries
Ushawasikia wangapi? Wapi? Hizo akili za Polepole zitawapeleka markiti
 
Masomo yenu haiwaruhusu kutambua kejeli.

Bwana Giuliani anashangaa kwanini Tanzania ambayo sio 'civilized' inaruhusu inspekta wa uchaguzi, ilhali USA haikuruhusu.
Its always gud to be an example.. Whether a good or a bad example; its always gud!
 
Mbona kaongea kitu iko wazi...inamana hakutegemea sehem kam Tanzania ( Africa ) ingeruhusu observers....iko wazi wanaiona Africa kama domant continent sasa ww unasema amekejel duuuh hahaha pole
We jamaa ni nanga sana. Chukulia wewe ni kipanga darasani na CCM ni kilaza darasani. Kwenye hesabu ya kujumlisha ukaikosa ila CCM akaipata. Ticha kwenye masahihisho anakuambia wewe kibori nangari iweje CCM aipate wewe uikose? Huoni hapo kuna dharau kwa CCM kuwa kukosea ni kawaida yake? Kama hujaelewa tena huu mfano kojoa ukalale!!
 
We jamaa ni nanga sana. Chukulia wewe ni kipanga darasani na CCM ni kilaza darasani. Kwenye hesabu ya kujumlisha ukaikosa ila CCM akaipata. Ticha kwenye masahihisho anakuambia wewe kibori nangari iweje CCM aipate wewe uikose? Huoni hapo kuna dharau kwa CCM kuwa kukosea ni kawaida yake? Kama hujaelewa tena huu mfano kojoa ukalale!!
Acha kupotosha.

Unajua maana ya neno "ikiwemo"?
20201121_114854.jpg
 
To put it into perspective kwenye kitabu cha ‘John Bolton’ moja ya teuzi za Trump zilizomshangaza ni kutomteua Giuliani kuwa Attorney General kwa sababu he was more than qualified on merit for that post plus he was loyal to Trump.

Now John Bolton also happens to be a trainee lawyer with a degree from YALE school of Law, held very sensitive position in US administration for 30 years with an understanding who is qualified for what post in senior government.

Kwa maana hiyo anapotokea mwanasheria wa kuaminika wa calibre ya Giuliani huko kwao halafu anatumia sheria za Tanzania za uchaguzi kama ‘rejea’ ya kuwa zinataka wasimamizi washiriki kwenye zoezi la kupiga na kuhesabu kura sio kusimama tu kwa mbali kama ilivyokuwa kwao.

Hiyo kauli itawapa wakati mgumu sana mabeberu kutunga figisu kwenye kujadili namna uchaguzi wetu ulivyoendeshwa, maana one of their top lawyer huko kwao think different.
 
Back
Top Bottom