Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Tabibu wa rais wa nchi si mtu mdogo bro,hapo uelewe atokua na elimu ya kuunga unga hadi alipofikia,binafsi hata mpishi tu wa rais siwezi kumdharau kama wewe ulivyomchukulia poa mwanasheria wa trump
Zamani mtu alikuwa akipata matokeo mabovu tulikuwa tunasema βyaani amefail hata ualimu hakupataβ!? That was the perception.Ungemwekea bold hapo kwenye βalmost every civilized country , even Tanzania and places you wouldnβt think ofβ
Tukisema Lumumba wamejaa certified vilaza wanalalamika tunawatukana πππ
Hawa mazwazwando wanafanya kenya watudharau hatujui kiingereza ππππZamani mtu alikuwa akipata matokeo mabovu tulikuwa tunasema βyaani amefail hata ualimu hakupataβ!? That was the perception.
Sasa huyu Beberu anaiona Tanzania kama one of those uncivilized states ila mazwazwa wanashangilia kwa furaha
Tuliyataka wenyeweKingereza kingereza jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Kiukweli kwa yanayotokea Uganda dunia haina budi kutuona kuwa tuna demokrasia nzuriHongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Acha uongo hakuwa na maana hiyo,
Acha uongo wewe kiingereza huku kabisa, kwanza utambue Tz ni nchi ya kuigwa dunianiHawa mazwazwando wanafanya kenya watudharau hatujui kiingereza ππππ
ππππacha uongo hakuwa na maana hiyo,
Ona ilivyo fahari nchi ndogo kama Tanzania kutolewa mfano nchini marekani na mtu mmoja mkubwa mno serikalini. Ni fahari sana kwanini asitolee mfano nchi zingine hukoMataga wa Lumumba , vibaraka wa mhutu hawajaelewa kama hilo dongo ni la kwao .
Hapo jambo la kujiuliza ni kwamba kwanini mtu mkubwa kama huyo anayejitetea kuhusu matokeo ya marekani atolee mfano Tanzania, wakati duniani kuna nchi kibao tu. Wazungu sio kwamba wapo clever kivile mkuu wana la kujifunza sanaππππ
Usilete tafsiri kwenye kitu kipo wazi, hii sio Bible verseYaani kwa kutokujua vzr Kiingereza, hata mkitajwa kwa ujinga mnadhani mmesifiwa!
Rudy Giuliani hapo katolea mfano kwa kumaanisha: hata nchi inayoendesha uchaguzi wa kijinga kama Tanzania, wanasheria ya kuweka wasimamizi wa kura zinazotumwa kwa njia ya Posta.....sasa jiulize, kwani Tanzania tuna kura gani zinazopigwa na kutumwa kwa Posta?
Hasa hapo kejeli iko wapi mkuu?Yani hapo huoni kabisa km mmekejeliwa[emoji23][emoji23]
Naona umeumia sana!Hawa mazwazwando wanafanya kenya watudharau hatujui kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaumia sana tz kupigiwa mfano?Kuna askari polisi mmoja mjinga kama wewe huwa anatumia mistari ya Biblia kuomba rushwa barabara. Anatembea na Biblia kabisa.
Leo mabeberu wamekuwa wema na marafiki wa CCM. Kabla siku haijaisha watakuwa mashoga na maadui. CCM imejaza wajinga huko halafu mnafiki nchi hii yote ni wajinga!
mkuu weka hii video inaonyesha vizuriHongera Tanzania kuwa mfano wa kuigwa ulimwenguni
Demokrasia yetu ama kwa hakika imekuwa ya kupigiwa mfano kila pembe ya dunia.
View attachment 1631243
Yani hapo huoni kabisa km mmekejeliwa[emoji23][emoji23]