Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

Halafu kabla jua halijazama, mtasema ni mashoga na mabeberu... propaganda kazi kweli. Haya mpishi wa Magufuli ni kiongozi mkuu Tanzania.
Tabibu wa rais wa nchi si mtu mdogo bro,hapo uelewe atokua na elimu ya kuunga unga hadi alipofikia,binafsi hata mpishi tu wa rais siwezi kumdharau kama wewe ulivyomchukulia poa mwanasheria wa trump
 
Mataga wa Lumumba , vibaraka wa mhutu hawajaelewa kama hilo dongo ni la kwao .
 
Ungemwekea bold hapo kwenye “almost every civilized country , even Tanzania and places you wouldn’t think of”

Tukisema Lumumba wamejaa certified vilaza wanalalamika tunawatukana 😂😂😂
Zamani mtu alikuwa akipata matokeo mabovu tulikuwa tunasema “yaani amefail hata ualimu hakupata”!? That was the perception.

Sasa huyu Beberu anaiona Tanzania kama one of those uncivilized states ila mazwazwa wanashangilia kwa furaha
 
Zamani mtu alikuwa akipata matokeo mabovu tulikuwa tunasema “yaani amefail hata ualimu hakupata”!? That was the perception.

Sasa huyu Beberu anaiona Tanzania kama one of those uncivilized states ila mazwazwa wanashangilia kwa furaha
Hawa mazwazwando wanafanya kenya watudharau hatujui kiingereza 😂😂😂😂
 
Mataga wa Lumumba , vibaraka wa mhutu hawajaelewa kama hilo dongo ni la kwao .
Ona ilivyo fahari nchi ndogo kama Tanzania kutolewa mfano nchini marekani na mtu mmoja mkubwa mno serikalini. Ni fahari sana kwanini asitolee mfano nchi zingine huko
 
😁😁😁😁
Hapo jambo la kujiuliza ni kwamba kwanini mtu mkubwa kama huyo anayejitetea kuhusu matokeo ya marekani atolee mfano Tanzania, wakati duniani kuna nchi kibao tu. Wazungu sio kwamba wapo clever kivile mkuu wana la kujifunza sana
 
Yaani kwa kutokujua vzr Kiingereza, hata mkitajwa kwa ujinga mnadhani mmesifiwa!

Rudy Giuliani hapo katolea mfano kwa kumaanisha: hata nchi inayoendesha uchaguzi wa kijinga kama Tanzania, wanasheria ya kuweka wasimamizi wa kura zinazotumwa kwa njia ya Posta.....sasa jiulize, kwani Tanzania tuna kura gani zinazopigwa na kutumwa kwa Posta?
Usilete tafsiri kwenye kitu kipo wazi, hii sio Bible verse
 
Kiukweli kwa yanayotokea Uganda dunia haina budi kutuona kuwa tuna demokrasia nzuri
2022 ndio utajua Tanzania tuna democracy na amani kipindi cha uchaguzi baada ya wakenya kuanza kuchinjana
 
Kuna askari polisi mmoja mjinga kama wewe huwa anatumia mistari ya Biblia kuomba rushwa barabara. Anatembea na Biblia kabisa.

Leo mabeberu wamekuwa wema na marafiki wa CCM. Kabla siku haijaisha watakuwa mashoga na maadui. CCM imejaza wajinga huko halafu mnafiki nchi hii yote ni wajinga!
Unaumia sana tz kupigiwa mfano?

Mwambieni mbelgiji na yeye atapigiwa mfano
 
Back
Top Bottom