Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

Binafsi mbio hizi za kukimbiza mioto huwa sizielewi na sizikubali. Nadhani ni moja ya mambo yanayotufanya tuwe masikini wakati tuna rasilimali nyiiingi.

Angalia sasa tunashindwa hata kuendesha bandari zetu, kuchimba madini yetu au kusimamia mbuga zetu, yaaani ...

YESU NI KRISTO
Hutazielewa mpaka ule kiapo cha kutunza siri
 
Back
Top Bottom