Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Huu ujinga utaachwa lini? Hilo dude liwekwe makumbusho tuendelee kufanya vitu vya maana. Upotevu wa kodi za wananchi tu!!!Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru
View attachment 2682377