Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

Mkurugenzi analiwa Kichwa, kampe pole.
yupo utumwani Sasa atatumia akili yake badala ya kibatali hiki
20230328_210700.jpg
 
Anafukuzwa kazi kabisa kwenye utumishi wa umma hata mawakili wa kumtetea wanamkimbia sijui kuna nini kwenye Mwenge chezea pesa za Umma ila ukilaumiwa na watu wa Mwenge daaah.
Acha kutsha watu
 
Huyu kiongozi wa mbio za mwenge povu lote lile analitoa kwa mkurugenzi mteuliwa wa rais kama nani na anapata jeuri toka wapi kama hajatumwa kumsulubu mkurugenzi? Hizi siasa bila kutumika hupati jeuri
 
Hata akiondolewa,ataendelea kulipwa mshahara wa DED,kama ilivyo kwa spika,ndiyomaana Ndugai aliamua kukaa prmbeni,huku akila stahki zake.
 
Hao wakimbiza wana taaluma ya kukagua wanachotaka kukagua mf.Taratibu za Manunuzi, fedha au za utaalam wa mradi husika ?

mnawachosha Wakurugenzi

hapo utakuta tayari CAG, Takukukuru, LAAC, Chama mkoa, Internal Audit ya Tamisemi, ofisi ya RAS, Baraza la Madiwani wote wameshapita kukagua na kumchomoa Pesa Mkurugenzi

We ushawahi kusikia bajeti au ukaguzi wa fedha zinazotumika kwny Mwenge?
mi kama mkandarasi sitaki zabuni za serikali, ni usumbufu na michosho mitupu, kila mlafi anataka alambe, bado kuna wadokozi, ni shughuli pevu kwa kweli
 
Mkimbiza mwenge hajui kuwa Kupata kazi ya Ukurugenzi wa Halmshauri lazima uwe na connection kali kuliko ya kuwa Mkimbiza Mwenge

hadi unaona DED anakuwa na kiburi pengine Mkandarasi wa nyuma ya pazia wa hiyo Miradi ndio anaeidhinisha bajeti ya Mwenge kitaifa na kuchagua nani awemo kwny Mwenge marathon na nani asiwepo
CCM katika ubora wake
 
Ushirikina huo na upotevu wa pesa tu ndo maana ajali zimezidi luketo
 
Hivi uwe mwenge si upigwe bei kwa dp world hizi tabu tupu walimu hawana raha na mwenge mara waambiwe washone.mashati ya vitenge tena kwa lazima
 
Back
Top Bottom