Kiongozi wa Mbio za Mwenge amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua Mkurugenzi wa Wilaya ya Rorya

Anafukuzwa kazi kabisa kwenye utumishi wa umma hata mawakili wa kumtetea wanamkimbia sijui kuna nini kwenye Mwenge chezea pesa za Umma ila ukilaumiwa na watu wa Mwenge daaah.
Acha kutsha watu
 
Huyu kiongozi wa mbio za mwenge povu lote lile analitoa kwa mkurugenzi mteuliwa wa rais kama nani na anapata jeuri toka wapi kama hajatumwa kumsulubu mkurugenzi? Hizi siasa bila kutumika hupati jeuri
 
Hata akiondolewa,ataendelea kulipwa mshahara wa DED,kama ilivyo kwa spika,ndiyomaana Ndugai aliamua kukaa prmbeni,huku akila stahki zake.
 
mi kama mkandarasi sitaki zabuni za serikali, ni usumbufu na michosho mitupu, kila mlafi anataka alambe, bado kuna wadokozi, ni shughuli pevu kwa kweli
 
CCM katika ubora wake
 
Ushirikina huo na upotevu wa pesa tu ndo maana ajali zimezidi luketo
 
Hivi uwe mwenge si upigwe bei kwa dp world hizi tabu tupu walimu hawana raha na mwenge mara waambiwe washone.mashati ya vitenge tena kwa lazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…