Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Huu ujinga utaachwa lini? Hilo dude liwekwe makumbusho tuendelee kufanya vitu vya maana. Upotevu wa kodi za wananchi tu!!!Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru
View attachment 2682377
Wasting of time and moneyHutazielewa mpaka ule kiapo cha kutunza siri
kuna mkuu wa Idara katika moja ya Halmshauri alijifanya Mjuaji …wenzie siku ya Mwenge wote wamepiga Sare sare za kijani kibichi Kitenge cha wax wake kwa waume yeye akajiona Mtoto wa Mjini akapewa sare yake ya Shati la kijani kibichi akaligawa pale pale kwa Watumishi wa kada za chini akaibuka kwny kupokea Mwenge na Jezi lake la Arsenal la EmiratesHivi uwe mwenge si upigwe bei kwa dp world hizi tabu tupu walimu hawana raha na mwenge mara waambiwe washone.mashati ya vitenge tena kwa lazima
Budget ya Mwenge haikaguliwi Kwasababu ni pesanza kuomba omba na haziwekwi kwenye account rasmi.Hao wakimbiza wana taaluma ya kukagua wanachotaka kukagua mf.Taratibu za Manunuzi, fedha au za utaalam wa mradi husika ?
mnawachosha Wakurugenzi
hapo utakuta tayari CAG, Takukukuru, LAAC, Chama mkoa, Internal Audit ya Tamisemi, ofisi ya RAS, Baraza la Madiwani wote wameshapita kukagua na kumchomoa Pesa Mkurugenzi
We ushawahi kusikia bajeti au ukaguzi wa fedha zinazotumika kwny Mwenge?
Ni mkuu wa wilaya
Vijana wa Mwenge ni vijana wa ofisi ya Rais … ukilijua hilo huumizi kichwakuna mkuu wa Idara katika moja ya Halmshauri alijifanya Mjuaji …wenzie siku ya Mwenge wote wamepiga Sare sare za kijani kibichi Kitenge cha wax wake kwa waume yeye akajiona Mtoto wa Mjini akapewa sare yake ya Shati la kijani kibichi akaligawa pale pale kwa Watumishi wa kada za chini akaibuka kwny kupokea Mwenge na Jezi lake la Arsenal la Emirates
baada ya Mwenge likasukwa fitna likasukika wakamla kichwa kwa kuhujumu Mwenge tena kwa ushahidi eti walimkabidhi Sare akaikebehi na kuitupa hadharani na kesho yake akafedhehesha Halmashauri kwa kuhudhuria tukio la Kitaifa kwa mavazi yasiyo na staha huku akijua ni kinyume cha utaratibu na maadili ya Utumishi wa Umma
Mwenge ni kazi ya shetaniKiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru
View attachment 2682377
Mwenge ni kazi ya shetani inayoachilia laana kwa nchi yetu. Tuupige vita mwengeKiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Abdallah Shaibu, amemuomba Rais Samia kumchukulia hatua za kinidhamu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kushindwa kutoa ushirikiano wakati wa ukaguzi wa nyaraka za miradi waliyoihitaji huku akidaiwa kutoa lugha zisizo rafiki kwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru
View attachment 2682377
Yaani mzee mzima anaomba msamaha kakijana kanaweza kuwa kanae ka mwisho.
Chopa DED ni dc
Si sawa ! Una haki kushauri chochote Ila hapa hauko sawaSamahani.
Huyo shaibu kiongozi wa mwenge Ni mzanzibari?
I rest my case.