Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Miaka nenda rudi tunasikia wanakamatwa je hawaishi!!!?
Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.
Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.
Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Sababu iko hapo juu baada ya kichwa cha habari.Ametoa sababu gani za kukataa kuteketeza? Au roho inamuuma?
Itakua yamehuzunika sana kwa zoezi kusitishwa.Masela yangejusanyika kama yote[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.
Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.
Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Ndio shughuli ya kiongozi wa mbio za mwenge kuchoma bangi? tunakoelekea atakua anakamata wahalifu sehemu mwenge unapita n.k.