Kiongozi wa Mwenge agoma kuteketeza zaidi ya kilo 3000 za bangi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

bhang.jpg

Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.

Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.

Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
 
Duh.. bangi tani3!! Yaani canter ya tani 3 ile unajaa!!
 
Duuuuh. Kijiji chote wangevuta msuba. By the way hii mwenge kumbe bado ipo. 😜😜😜🔥
 
Ametoa sababu gani za kukataa kuteketeza? Au roho inamuuma?
 
bhang.jpg

Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.

Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.

Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Miaka nenda rudi tunasikia wanakamatwa je hawaishi!!!?
 
Bangi itolewe Kwenye orodha ya madawa ya kulevya...

Kusema umekamata watu 86 wakifanya biashara ya madawa ya kulevya halafu kumbe ni bangi ...ni kupotosha
 
I hope ali-pack kiasi cha kumtosha akatest...na hivi inayolimwa pande hizo inayo ladha ya vanilla
 
bhang.jpg

Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.

Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.

Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

mpaka sasa sijaona madhara ya uvutaji wa bangi,tunasubiri nini. binafsi bora iruhusiwe tuilime ten kwa wingi sana kuliko serikali yetu kuisikilizia mpaka itakapo shuka bei huko duniani mwisho wa siku mapato yatakua madogo ...
 
bhang.jpg

Kiongozi wa mbio za mwenge josephine Mwambashi amegoma kuteketeza kilo zaidi ya 3000 za madawa ya kulevya aina ya bangi na misokoto zaidi ya mia nane baada ya kutolidhishwa na eneo lililotengwa kufanyia shughuli hiyo kwakua ni sehemu ya makazi ya watu.

Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.

Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Ndio shughuli ya kiongozi wa mbio za mwenge kuchoma bangi? tunakoelekea atakua anakamata wahalifu sehemu mwenge unapita n.k.
 
Back
Top Bottom