Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kiongozi huyo amegoma kuteketeza madawa hayo katika eneo la Nyamwaga, ambayo yanadaiwa kukamatwa katika oparesheni mbalimbali za Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Tarime Rorya.
Aidha, Mkuu wa kituo cha polisi Nyamwaga, Fatuma Mbwana amesema oparesheni hizo zimefanikiwa kukamata wahalifu 86 wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.