Kiongozi wa namna hii hatufai

Kiongozi wa namna hii hatufai

Zamu ya masikini kuisoma namba maisha zamu kwa zamu wakati matajiri na wapinzani wakisulubiwa mlikaa kimya. Matajiri tunakwenda na mama. Hata unga ufike buku 10 kwa kilo tutanunua. Subirieni zamu yenu ya raisi wa wanyonge itafika.
 
Mapovu yote haya ya makamasi ni baada ya kuaibishwa na uongo ulioandika..

Nitakuaibisha zaidi,kuanzia kwenye kilimo hadi kwenye salary..

Zamu ya Vijana kulamba asali kwenye kilimo[emoji116]
Hahahaa..naona umeajiriwaaa na ssh...hayaaa buanaa rambaa hiyo asariiii
 
Rais akifa madarakani uchaguzi urudiwe Ili kupata mtu sahihi, Makamu Katu hawezi kuwa smart zaidi ya boss wake. Hii itaepusha kupata fundi kinyozi anaejifunza kunyoa. Uongozi sio majaribio bali ni maisha ya watu
 
Back
Top Bottom