Zamu ya masikini kuisoma namba maisha zamu kwa zamu wakati matajiri na wapinzani wakisulubiwa mlikaa kimya. Matajiri tunakwenda na mama. Hata unga ufike buku 10 kwa kilo tutanunua. Subirieni zamu yenu ya raisi wa wanyonge itafika.
Rais akifa madarakani uchaguzi urudiwe Ili kupata mtu sahihi, Makamu Katu hawezi kuwa smart zaidi ya boss wake. Hii itaepusha kupata fundi kinyozi anaejifunza kunyoa. Uongozi sio majaribio bali ni maisha ya watu