Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Wewe ndio umeelewa hivyo! Mazombies hawaelewi kitu ni makofi wale pilau waende chooni TU!Sijui kwa nini wameamua kumdhalilisha!
Kwamba ni marais wachekeshaji!!??Duh! kwa hiyo zelensky na samia wana fani mrandano.!!!
Mh! huenda jawabu limetiwa ndani ya Tuzo.Kwamba ni marais wachekeshaji!!??
Nyie ni mazuzuWewe ndio umeelewa hivyo! Mazombies hawaelewi kitu ni makofi wale pilau waende chooni TU!