Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
2,754
Reaction score
4,975
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
GkcfYkSXwAAafJL.jpeg


Modes naomba uzi huu usiunganishwe na uzi mwingine kwa sababu unahusiana na kampeni za uchaguzi 2025 'PreGE2025' Ndiyo maana nimetaja 'Mgombea CCM'
 
Pembeni yake yupo Prof. tena hana shida yoyote kurekebisha sehemu; hii inamaanisha Mh. Rais kuna wakati anashiriki kwenye mashindano ya kuchekesha bila wananchi wake kujua ?
 
Kuna watu huwa wanasema "inawezekana Tanzania ni channel ya vichekesho huko mbinguni"

Huwa naona wanazingua.

Ila hii ya "Champion of Comedy" imenifikirisha sana.
 
Back
Top Bottom