BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Bila kumsahau kabikira wa ifmmajungu at work...!unamjua duller square...?!
zarinah soldier...?
zarimond platinum?!!
coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...
kumbe wewe ni team Fulani!!
siungi mkono matusi!
Awamu hii madanga yamebanwa kila corner hamna mteremko popote sasa ndo ataisoma number vzurihawezi kazi ashazoea kuhongwa..
madanga mjini yamekata..!
[emoji23] jimbo gani atachukua?? Hapo kwenye kudhalilisha wazazi wa wenzie huwa anapitiliza ila ana ubongo mpana sana kwenye matusiAtajileta kugombea ubunge2020 alisema me sipendi anavyodhalilisha wazazi wa wenzie
Yani hata shilole kiuno walizidi sana na James delicious hata hawaogopiSio uteam
Ushawahi kiyaona matusi ya dullasquare wewe????
Lazima utazima simu
Ubongo mpana kiaje? Sikumbuki hata alisemea atagombea api[emoji23] jimbo gani atachukua?? Hapo kwenye kudhalilisha wazazi wa wenzie huwa anapitiliza ila ana ubongo mpana sana kwenye matusi
nimesoma na kuelewa vzr nimeona dhahiri ulivyo na double std...!!Karudie ile post, umefanya kitu ambacho nimesema tim kiba mnacho, sasa umepanic nn!!?
sija sema kuwa timu platnumz ndio hawatukani, wala sija sema mtu kama shabiki wa diamond asishtakiwe. Mi nimetembea na mada, kwani tukimtaja Kiba lazima tumtaje na Domo!!?
Unaruhusiwa kuwa shabiki bas ji control soma post taratibu halafu ujue nia yangu ni nini. Ukiona huelewi unauliza, sasa we umeleta majumuisho eti majungu!!!
Kama timu diamond ina watu wana tukana haiwafanyi tim kiba kuonekana wako sahihi wakitukana, au mtu wa kiba akikamatwa kuonekana ana onewa.
Whats wrojg with you girl!!!?
NB.
Sina tim
HahahhahahahhajaahMange atadakwa tu vzuri tu na this time asahau kutoka
Mi ingekuwa ndo nimetukanwa walah wangeozea magereza kabisa yaniNdio Shida ya kutojitambua ukiwa unajielewa kuna mambo unayasikia Kwa jirani Na kuyashangaaa
Hivi ushawahi kumsikia mond akimpiga majungu msanii yyt wa bongo juzi tu ommy katupa jiwe gizani kwa mond kuwa ana mchezo wa kununua view mara ananunua tuzo mbona huwa hana time nao.....naunga hoja ya mchangiaji mmoja aliyesema team kiba weng wenu mna mental problemsApunguze chuki naye dai kafanikiwa sasa kinacho mfanya ahangaike na kiba ni nin? Mara ommy dimpoz Mara kile
Nadhani nawe inabidi uwe makini sioni tofauti yako na yeyeKwanini yule wa team domo hakamatwi??? Dullaskwea????
Soko la muziki ni kubwa lakini full figisu figisuhapo ndo ukiyaka kujua salaam SK alikua na beef zake
yasemekana wanamlazimisha aseme kua alikua analipwa na kiba ili amharibie jina..
kuna watu wana roho mbaya katuzo kamtv kamoja tu fitna zimeanza angepata NNE ...je?
sasa hapa ndo nimeamini kweli sallaaam ni mtu wa figisufigisu!
Mi ingekuwa ndo nimetukanwa walah wangeozea magereza kabisa yani
Mchumba leo una hasira sana.. Nini shida?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anamfollow umeona eehhh...?!
so means anatetea matusi ya kina duller...?!!
WTF....!!!!
Ila wapuuzi hapa watatetea hayo..
duller anamuita daimond mmewe..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...!!
yetu macho sie wambea!
Yani yule Mrs aserne Wenger kastaafu matusi nilivoona picha yake nilichoka hana mbele wala nyumaBila kumsahau kabikira wa ifm
Wana matusi ya 2017
roho mbaya tuu[emoji57] [emoji57] [emoji57] yaani jiulize sasa....?!!Soko la muziki ni kubwa lakini full figisu figisu
Inaonekana kimejaa matusi hata yanavujaUbongo mpana kiaje? Sikumbuki hata alisemea atagombea api
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aibu tupu!looh!View attachment 436183mambo makubwaaa diamond kamunfollow duller
Hahahhaahhahh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inaonekana kimejaa matusi hata yanavuja
Ndo ujue hizi timu zinapewa support na wasanii wenyewe sasa dai kachelewa kumu unfollow wanakimbilia kulaumu timu moja ili waonekane wema sanaView attachment 436183mambo makubwaaa diamond kamunfollow duller
Sipendi unafiki mm!Mchumba leo una hasira sana.. Nini shida?