Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

majungu at work...!unamjua duller square...?!

zarinah soldier...?

zarimond platinum?!!

coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...

kumbe wewe ni team Fulani!!

siungi mkono matusi!
Bila kumsahau kabikira wa ifm

Wana matusi ya 2017
 
Karudie ile post, umefanya kitu ambacho nimesema tim kiba mnacho, sasa umepanic nn!!?

sija sema kuwa timu platnumz ndio hawatukani, wala sija sema mtu kama shabiki wa diamond asishtakiwe. Mi nimetembea na mada, kwani tukimtaja Kiba lazima tumtaje na Domo!!?

Unaruhusiwa kuwa shabiki bas ji control soma post taratibu halafu ujue nia yangu ni nini. Ukiona huelewi unauliza, sasa we umeleta majumuisho eti majungu!!!

Kama timu diamond ina watu wana tukana haiwafanyi tim kiba kuonekana wako sahihi wakitukana, au mtu wa kiba akikamatwa kuonekana ana onewa.

Whats wrojg with you girl!!!?

NB.
Sina tim
nimesoma na kuelewa vzr nimeona dhahiri ulivyo na double std...!!

ww ni timu diamond ukubali ukatae...!

tena nyie ndo team panic at work sema watu hawana time n nyie tu!

always negativity abt about ally kiba...never appreciate his work ht hongera..
!!

pole lakini kwa kukuambia ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] na ukaingia kwa moyoo!!!

muambie duller aache matusi!
 
Apunguze chuki naye dai kafanikiwa sasa kinacho mfanya ahangaike na kiba ni nin? Mara ommy dimpoz Mara kile
Hivi ushawahi kumsikia mond akimpiga majungu msanii yyt wa bongo juzi tu ommy katupa jiwe gizani kwa mond kuwa ana mchezo wa kununua view mara ananunua tuzo mbona huwa hana time nao.....naunga hoja ya mchangiaji mmoja aliyesema team kiba weng wenu mna mental problems
 
hapo ndo ukiyaka kujua salaam SK alikua na beef zake

yasemekana wanamlazimisha aseme kua alikua analipwa na kiba ili amharibie jina..

kuna watu wana roho mbaya katuzo kamtv kamoja tu fitna zimeanza angepata NNE ...je?

sasa hapa ndo nimeamini kweli sallaaam ni mtu wa figisufigisu!
Soko la muziki ni kubwa lakini full figisu figisu
 
Mi ingekuwa ndo nimetukanwa walah wangeozea magereza kabisa yani
1479498366636.png
mambo makubwaaa diamond kamunfollow duller
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anamfollow umeona eehhh...?!
so means anatetea matusi ya kina duller...?!!
WTF....!!!!
Ila wapuuzi hapa watatetea hayo..

duller anamuita daimond mmewe..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...!!
yetu macho sie wambea!
Mchumba leo una hasira sana.. Nini shida?
 
Back
Top Bottom