pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Je umethibitisha pasi na shaka kuwa iyo ni acc ya Ommy dimpo?Ommy dimpoz anajichafua mwenyewe kuonyesha ujinga mbele ya hawa watukanaji
PesaaaaaaaaaDah yani Ommy kaumbuka kweli yani wakumfanyia Mondi hivi kweli ukaribu walliokuaga nao? Mwenzie anatukaniwa mamaake mtoto wake anaafurahia hata kama Wana ugomvi looh! kweli wivu mbaya!
Upo serious na swali lakoJe umethibitisha pasi na shaka kuwa iyo ni acc ya Ommy dimpo?
Pasi na shaka ni ya kwakweJe umethibitisha pasi na shaka kuwa iyo ni acc ya Ommy dimpo?
Atakua anataniaUpo serious na swali lako
Wasanii wote hawapendani so kwa ommy haishangazi hata dai vile vile sema tu watizii twapenda unafiki. Hizi account zimeendekezwa na wasanii wenyewe diamond kamu unfollow duller square na account nyingine zilizokuwa zinatukana. Wakianza kukamatwa mmoja baada ya mwingine watanyooka. Wengi wenye account za kutukana hawana mbele wala nyuma na life limewashindaDah yani Ommy kaumbuka kweli yani wakumfanyia Mondi hivi kweli ukaribu walliokuaga nao? Mwenzie anatukaniwa mamaake mtoto wake anaafurahia hata kama Wana ugomvi looh! kweli wivu mbaya!
Hafu police wamekanusha kumkamata huyo mtu, hafu imefunguliwa account nyingine ka hyo inatukana tu hivi huo mda huwa wanaupata wapi wakutukana hivo cha ajabu hzo account zinapataga followers wengi tudah! huyo dogo alizidisha matusi acha Scopion akamshughulikie kidogo sege dansi
Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
Hivi we kwa akili yako unafikiri SUZAN KAGANDA atasema kwamba shilolekiuno wamemkamata?!Yani hii sheria ya habari inatakiwa ianze na wee kwanza na akina Lemutuz wako
Wasanii wapuuzi sana wanashidwa kuwakemea nahisi wanaogopa kupoteza followers.Hasa mtu kama Kiba hamfollw mtu yoyote Lakini watu mishipa ya shingo inawasimama kutukana kwa sababu yake.Wasanii wote hawapendani so kwa ommy haishangazi hata dai vile vile sema tu watizii twapenda unafiki. Hizi account zimeendekezwa na wasanii wenyewe diamond kamu unfollow duller square na account nyingine zilizokuwa zinatukana. Wakianza kukamatwa mmoja baada ya mwingine watanyooka. Wengi wenye account za kutukana hawana mbele wala nyuma na life limewashinda
majungu at work...!unamjua duller square...?!Team Kiba wanakuwaga na matusi halafu wana panic sana, hata humu jf wako hivo hivo.
NB
Niko tim Tanzania
hapo ndo ukiyaka kujua salaam SK alikua na beef zakeKwanini yule wa team domo hakamatwi??? Dullaskwea????