pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Milion saba si mtaji kabisa huo aisee naishukuru serikali ya anko magu kuruhusu sheria ya mitandaoni ni wakati wa kukamatia fursa nikitukanwa tu na report wakinitukana watano tu nishatajirika M7times five nakua na m35 safiii tutaheshimiana tu mjini hapa nitukane unilipe [emoji135][emoji135]