fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,396
Hujielewi weweNgoja tu nikuache muelewa unayejipeleka chaka mwenyewe kwa kuongozwa na hisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewi weweNgoja tu nikuache muelewa unayejipeleka chaka mwenyewe kwa kuongozwa na hisia
James kakimbilia.kumuomba wolper msamaha... ila kasahau kawatukana watu kibao...Nayeye siku zinahesabika pamoja na yule shoga James delicious
James kapost ana stress na hivi ni sho.... Kuna siku alikua anamtukana miss Tanzania bila kosa yani hizi sifa za kutaftia followers insta simchezo.James kakimbilia.kumuomba wolper msamaha... ila kasahau kawatukana watu kibao...
Team Kiba Wana Matusi sana kwa sababu Wana hasira na Dai kwa sababu Dai kamuacha mbali sana Kiba na wanalijua liko wazi ukizingatia Kiba katangulia kwenye gemu,kwahiyo wanapaniki kila kukicha Mondi anapiga hatua,kilichobaki wanajifariji kwa Matusi.yani mimi ni team mwenyewe.....ila ningefikiria kuwa na teama basi ingekua team diamond mana kwa kautafiti kangu kadogo teamkiba wanakuaga na matusi sana
Ila duller square ni shoga, aliwahi kunsumbua sana dm miezi kadhaa iliyopita. Alintumia mpaka picha za mk*ndu wakeKama huyu duller square weka mbali na watoto mkuu[emoji20] tusi moja tu unazimia [emoji33] akikupiga la pili unarest in peace[emoji125]
msiba mzito sana huu!ost: 18538118, member: 346444"]Nipo dada yangu yaani hizi teknolojia hizi kuna mambo yananifanya nikumbuke posta na simu zile za kidungu nyeusi hizi unazunguusha namba dah ilikuwa ndio mawasiliano hayo mtaa mzima unakuta nyumba moja ndio ina huduma hiyo.
Sasa siku hizi pana faida kuwa na hii huduma ila matakataka pia mengi kama haya ya kina nyonga sijui kiuno kisha mtoto wa kiume anaporomosha maneno mazito kama hivi.
Kwani uliiitwa Ngoma usioiweza kibwebwe cha nnSasa wew ulitaka aweje labda!! Mi ndio maana huku pananishindaga.. Ngoja nisepe zang MMU
hiyo picha ya soudy brown imefanyiwa photoshop nimeicheki kwenye macbook.. hapo hicho kichwa kinaweza kua ni chake ila mwili sio wake.. so hizo ni picha mbili zimebandikwa
AnafananaShabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
Hahahaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu soudy amewahi kuambiwa na muna love kua ni shoga naona ilipenya ndo maana katoa povu[emoji23] [emoji23] [emoji28]
Cjui sallam ashakukoseaga nn maana humtoi mdomon mwako hata sehem ambapo hausiki unamtaja unakijiba cha rohoHyo nimeiskia ila wameshirikiana na sallam ili kumpata huyo shilole. Mara wengine ni shishi ndo kamshitaki hata huyo mwenye matusi inaonyesha bado kijana sio mkubwa kivile hajui hata life linaendaje huyo.