Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Fd q na kna barnaba wanao jua mzic wametulia
Wacio jua ndio mwashobokea aya na matuc yako sasa km mtaj yakusaidie apo
 
yani mimi ni team mwenyewe.....ila ningefikiria kuwa na teama basi ingekua team diamond mana kwa kautafiti kangu kadogo teamkiba wanakuaga na matusi sana
Team Kiba Wana Matusi sana kwa sababu Wana hasira na Dai kwa sababu Dai kamuacha mbali sana Kiba na wanalijua liko wazi ukizingatia Kiba katangulia kwenye gemu,kwahiyo wanapaniki kila kukicha Mondi anapiga hatua,kilichobaki wanajifariji kwa Matusi.
 
Kama huyu duller square weka mbali na watoto mkuu[emoji20] tusi moja tu unazimia [emoji33] akikupiga la pili unarest in peace[emoji125]
Ila duller square ni shoga, aliwahi kunsumbua sana dm miezi kadhaa iliyopita. Alintumia mpaka picha za mk*ndu wake
 
ost: 18538118, member: 346444"]Nipo dada yangu yaani hizi teknolojia hizi kuna mambo yananifanya nikumbuke posta na simu zile za kidungu nyeusi hizi unazunguusha namba dah ilikuwa ndio mawasiliano hayo mtaa mzima unakuta nyumba moja ndio ina huduma hiyo.
Sasa siku hizi pana faida kuwa na hii huduma ila matakataka pia mengi kama haya ya kina nyonga sijui kiuno kisha mtoto wa kiume anaporomosha maneno mazito kama hivi.
msiba mzito sana huu!

siku hizi kulea mtoto wa kiume ni kazi kuliko mtoto wa kike![/QUOTE]
Hili neno linatukera sana la kazi kulea mtoto wa kiume kuliko wa kike ila ndio ukweli huo kijana anatukana kama hajazaliwa vile alitokea penye jiwe au mti haijulikani lazima tuwe na tahadhali kubwa toka zamani jinsia ya kike ilitawala katika nyanja hiyo sasa mmepata upinzani tena sio wa kitoto. Haya yakiachwa hivi tutakuja lia na kusaga meno siku si nyingi.
 
Hizi ndio products za kuwa na shirika kama shilawadu tena linaongozwa na kijana wa kiume tunaelekea kubaya wanamume tunapungua kwa kasi sana hii sio fani yetu kabisa. Watu wanaendesha maisha yao kwa kutukana wengine haijakaa vizuri hii wote wafanyao hivyo hatua stahiki zichukuliwe tunazalisha taifa la kesho la umbea na kwa style hizi ushoga utazidi kuongezeka siku hadi siku.
 
Hyo nimeiskia ila wameshirikiana na sallam ili kumpata huyo shilole. Mara wengine ni shishi ndo kamshitaki hata huyo mwenye matusi inaonyesha bado kijana sio mkubwa kivile hajui hata life linaendaje huyo.
Cjui sallam ashakukoseaga nn maana humtoi mdomon mwako hata sehem ambapo hausiki unamtaja unakijiba cha roho
 
Tatizo ni kwamba ametaka kuchafua product ambayo watu wamewekeza millions of money
 
@official_shilole_kiuno aslo known as [HASHTAG]#shishiboy[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom